tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498
Ndugu zangu sasa hivi tupo kwenye mchakato wa kutangaza nia na kubwa zaidi tunatafuta rais imebaki miezi kama mitatu! huyu serikali itadili nae baada ya uchanguzi! IELEWEKE HIVYO! HAMNA JINSI SERIKALI IPO BUYZ
tukifuatilia tutakatiwa misaada kutoka china
Sasa sisi wa nini akat alitaka aje na unga wake aangamize ndugu zetu. Acha washughulike nae
bora wao katoweka mtu mmoja tu,sisi wametoweka tembo zaidi ya 100 na hakuna hata alama ya damu iliyopatikana. Tz maajabu hayaishi