Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

Serikali tafuteni alipopelekwa Mtanzania Jack Cliff

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
498
ImageUploadedByJamiiForums1433571193.969532.jpg

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.

Tunaomba serikali itafute tujue mtanzania huyu alipo au kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa.
 
Ndugu zangu sasa hivi tupo kwenye mchakato wa kutangaza nia na kubwa zaidi tunatafuta rais imebaki miezi kama mitatu! huyu serikali itadili nae baada ya uchanguzi! IELEWEKE HIVYO! HAMNA JINSI SERIKALI IPO BUYZ
 
Ndugu zangu sasa hivi tupo kwenye mchakato wa kutangaza nia na kubwa zaidi tunatafuta rais imebaki miezi kama mitatu! huyu serikali itadili nae baada ya uchanguzi! IELEWEKE HIVYO! HAMNA JINSI SERIKALI IPO BUYZ

Duuuuu!!!!
 
Sasa kumbe alishahukumiwa, kinachofanywa na wachina ni katika kutekereza hukumu zao.
Huko akina Masogange na Huddah msiwe mnaenda.Tutawapoteza na utamu wenu jamani.
 
Kimsingi alitakiwa kuwa amenyongwa hadi sasa au kifungo cha maisha sema uhusiano wetu na sehemu aliyo kamatwa pengine inaweza ikampelekea kufungwa hata miaka 10 tuu!

Lakini ninacho kushauri sahau kuhusu huyo mtu na sahau kama alikuwepo! Mchuma janga hula na wakwao!
 
bora wao katoweka mtu mmoja tu,sisi wametoweka tembo zaidi ya 100 na hakuna hata alama ya damu iliyopatikana. Tz maajabu hayaishi
 
Mbona hela zipo hata bila kubeba mangada yenu hayo risk ya kunyongwa kwa dola hata 50,000 haifiki kwa uliebebeshwa,,
 
Mume wake anaendeleaje nae bado yupo anamsubiri?
 
Back
Top Bottom