tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 498

Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.
Tunaomba serikali itafute tujue mtanzania huyu alipo au kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa.