Serikali taifisha akaunti ya pesa ya kiboko ya wachawi, kavuna sana hela kwa mujibu wa waumini wake! Adhabu ya kufungiwa pekee haitoshi kamwe

Mungu naomba uwafungue Macho Serikali wapite na yule Muhuni wa pale Temboni
 
The moment people will understand and embrace the godly power within them,that's the moment where we'll experience true awakening
Fact..................

Watu wakijua tu kuwa Mungu haitaji dalali na wala haitaji maneno mengi, hakika hapo kutakuwa na imani ya kweli kabisa.

Mimi nilishaapa, sitopitia kwa binadamu mwingine kumfikia Mungu wangu.
 
Huwezi kumnyang'anya mtu fedha ambazo hajaiba na wala hajanyang'anya watu. Hizi ni fedha zake halali kwa sababu watu walikuwa wanampa kwa ridhaa yao. Ukifanya hivyo basi inabdi hata Babu wa Loliondo naye akanyang'anywe mali aliozawahi kuchuma wakati wa kikombe cha babu
 
Siendagi hayo makanisa mimi , halafu wamemfungia kisa tu alimwombea yule jamaa wa serikalini ndio ikala kwakwe maana angewasema waliomloga so ndio hivyoo
 
Fact..................

Watu wakijua tu kuwa Mungu haitaji dalali na wala haitaji maneno mengi, hakika hapo kutakuwa na imani ya kweli kabisa.

Mimi nilishaapa, sitopitia kwa binadamu mwingine kumfikia Mungu wangu.
huu ndio ukweli ambao watu wamegoma kuukubali either kwa uoga kutokana na vitisho ama kwa ignorance ya kutofikirisha akili na kuchambua mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…