Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact..................The moment people will understand and embrace the godly power within them,that's the moment where we'll experience true awakening
Sina Dini.Umeshapigwa upako nini?
Kwenye mada.
Tunaona mitandao ana trends sana jamaa mimi nimeanza kumfahamu huyu bwana kupitia nyimbo ya singeli nikaanza kumfuatilia huyu bwana inakuwaje kwa hichi anachokifanya anapata watu.???
Nikagundua tanzania tuna tuna uwezo mdogo sana katika kuchakata mambo na kuyatafakari.
Ilikuwaje kwanza huyu kapata kibali na kanunua eneo kaanzisha kanisa lake ana anaanza huduma kama zile ambazo ni sensitive sana.
Mimi nina rafiki zangu ambao ni wachungaji wa kweli kabisa maana historia zao hazina doa nawajua from the scratch wakija kubadilika kwa ajili ya maisha na fedha basi ni wao tu na roho zao
This man siku ya kwanza tu nikajua tu huyu kaja kutafuta pesa na sikingine sasa nikajiuliza na wengine hawaoni hili.?
Inawezekana kweli dawa za kuwagundua wachawi akawa nazo na hilo ndio alikuwa anajivunia nalo lakin kiupande wa upigaji jamaa alijipanga haswa lakin pia haikuhitaji HATA UFIKE MASTERS NDIO UJUE KAMA JAMAA MKONGOMANI NI TAPELI FLANI KWA NJIA YA NABII
kumbe alikuwa akiuza chumvi yenye picha yake kwa 35k na bado kuna kondoo walikuwa wananunua dah.
Wananchi wamepigwa sana hela na hawakupona mwisho wa siku wamechomoa betri
Nisikuache hivi hivi ndugu msomaji kwanza tumsikilize huyu mama
Kiufupi mchungaji kiboko ya wachawi anatakiwa kufungiwa na kurudisha hela zote alizomiliki kwa maana kazipata hapa nchini na ikiwezekana anyongwe kabisa ili kurudisha displine kwa hawa matapeli wa kiroho
Naambatanisha video hapa umsikilize shuhuda.
View: https://youtu.be/549ULLxQV_A?si=EKccqgn3tD5f3QS5
huu ndio ukweli ambao watu wamegoma kuukubali either kwa uoga kutokana na vitisho ama kwa ignorance ya kutofikirisha akili na kuchambua mamboFact..................
Watu wakijua tu kuwa Mungu haitaji dalali na wala haitaji maneno mengi, hakika hapo kutakuwa na imani ya kweli kabisa.
Mimi nilishaapa, sitopitia kwa binadamu mwingine kumfikia Mungu wangu.