Serikali taifisha akaunti ya pesa ya kiboko ya wachawi, kavuna sana hela kwa mujibu wa waumini wake! Adhabu ya kufungiwa pekee haitoshi kamwe

Serikali taifisha akaunti ya pesa ya kiboko ya wachawi, kavuna sana hela kwa mujibu wa waumini wake! Adhabu ya kufungiwa pekee haitoshi kamwe

chala41

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
300
Reaction score
606
Kwenye mada.

Tunaona mitandao ana trends sana jamaa mimi nimeanza kumfahamu huyu bwana kupitia nyimbo ya singeli nikaanza kumfuatilia huyu bwana inakuwaje kwa hichi anachokifanya anapata watu.???

Nikagundua tanzania tuna tuna uwezo mdogo sana katika kuchakata mambo na kuyatafakari.

Ilikuwaje kwanza huyu kapata kibali na kanunua eneo kaanzisha kanisa lake ana anaanza huduma kama zile ambazo ni sensitive sana.

Mimi nina rafiki zangu ambao ni wachungaji wa kweli kabisa maana historia zao hazina doa nawajua from the scratch wakija kubadilika kwa ajili ya maisha na fedha basi ni wao tu na roho zao

This man siku ya kwanza tu nikajua tu huyu kaja kutafuta pesa na sikingine sasa nikajiuliza na wengine hawaoni hili.?

Inawezekana kweli dawa za kuwagundua wachawi akawa nazo na hilo ndio alikuwa anajivunia nalo lakin kiupande wa upigaji jamaa alijipanga haswa lakin pia haikuhitaji HATA UFIKE MASTERS NDIO UJUE KAMA JAMAA MKONGOMANI NI TAPELI FLANI KWA NJIA YA NABII

kumbe alikuwa akiuza chumvi yenye picha yake kwa 35k na bado kuna kondoo walikuwa wananunua dah.

Wananchi wamepigwa sana hela na hawakupona mwisho wa siku wamechomoa betri
Nisikuache hivi hivi ndugu msomaji kwanza tumsikilize huyu mama

Kiufupi mchungaji kiboko ya wachawi anatakiwa kufungiwa na kurudisha hela zote alizomiliki kwa maana kazipata hapa nchini na ikiwezekana anyongwe kabisa ili kurudisha displine kwa hawa matapeli wa kiroho

Naambatanisha video hapa umsikilize shuhuda.


View: https://youtu.be/549ULLxQV_A?si=EKccqgn3tD5f3QS5
 
Huyu mama wa pili bila shaka alikuwa brain washed kwa kiwango cha SGR au alikuwa miongoni mwa wanufaika na serikali imemwaga ugali wake, anaweweseka tu.
Division one watu wa dini zote na imani zote wanaweza kupata.
Kiboko ya wachawi afungwe Segerea
 
Mimi nina rafiki zangu ambao ni wachungaji wa kweli kabisa maana historia zao hazina doa nawajua from the scratch wakija kubadilika kwa ajili ya maisha na fedha basi ni wao tu na roho zao
Acha siasa wewe. Uchungaji wa kweli anaujua mchungaji mwenyewe
 
Kwani huyo mwamba alimshikia mtu bastora au mshale ili atoe hela?
Kutoa hela kwake si sawasawa na kucheza tatu mzuka tu kwa hiyari yako
Inabidi tujifunze kutokana na ujinga tunaouendekeza
Dini ni biashara kama biashara nyingine zina panda shuka na fitina za kutosha. Hapo ukute msimuliaji au mhanga alitumwa na mpinzani wa huyo mchungaji.
 
The moment people will understand and embrace the godly power within them,that's the moment where we'll experience true awakening

Otherwise ataibuka mwingine na bado watu watajaa kwasababu watu wanatafuta faraja kwenye matatizo yao
 
Back
Top Bottom