Head teacher
JF-Expert Member
- Mar 10, 2012
- 1,796
- 412
Pole ndugu, Wazenji si vilaza kama unavyodhani ila wana akili sana!!! Manufaa ya serikali mbili kwa Zanzibar ni kubwa sana kiasi hakuna haja ya wao kutafuta pesa maana asilimia 4.5 ya kila mwezi ni kubwa sana kwao. Wanatupumbaza sie watanganyika. Nadhani Mtanganyika halisi atakataa serikali mbili. Kama wanataka tatu basi na iwe moja tu. Kwa nini tunawabembeleza wakati sie ndio tunaumia?Wasiwe vilaza, kung'ang'ania serikali mbili ndiko kutavunja muungano.Wasidhani wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba ni wajinga!
Pole ndugu, Wazenji si vilaza kama unavyodhani ila wana akili sana!!! Manufaa ya serikali mbili kwa Zanzibar ni kubwa sana kiasi hakuna haja ya wao kutafuta pesa maana asilimia 4.5 ya kila mwezi ni kubwa sana kwao. Wanatupumbaza sie watanganyika. Nadhani Mtanganyika halisi atakataa serikali mbili. Kama wanataka tatu basi na iwe moja tu. Kwa nini tunawabembeleza wakati sie ndio tunaumia?
Mwenyekiti wa UVCCM taifa, amesema serikali tatu hazitekelezi kwa kuwa zina gharama na zitavunja muungano. Amependekeza muundo wa serikali mbili uliopo uendelee.
My take:
1.Kwa nini tung'ang'anie serikali mbili ambazo zimeivunja serikali ya Tanganyika.
2. Kama tupo fair, kwa nini tusiwe na serikali moja ambayo itaimarisha muungano na una gharama nafuu kuiendesha...!
Haya ndo makosa yetu Watanganyika, kwa nini tuangalie wapemba wanataka nini? Achana nao na kama ulivyosema muungano hauna faida ila KARAHA kwa Sie WatanganyikaSerkali tatu si gharama kwa mfano serkali ya Tanganyika inaweza kuwa na Wizara 15 na ile ya muungano inakuwa na wizara 10 au chini.Je ukilinganisha wizara zilizopo sasa na pendokezo langu ni ipi ina gharama?Hii issue ya kuvunja muungano naikubali sana hasa wakiingia wakorofi kama Maalim Seif hivi lakini nani anataka muungano any way?Zanzibar walikwisha vunja muungano wanachotaka sasa ni complete autonomy.Serkali tatu ni bora kwa kuwa moja wapemba hawaitaki.
\Katika mfumo huu wa sasa, tuna viongozi kama saba hivi amabao tunaweza kuwaita marais ukichanganya na waziri mkuu. Wizara nazo ziko nyingi ambazo zimejaza mawaziri ambao wengine hata kazi zao hazifahamiki vizuri. Sioni kwa vipi serikali 3 zitakuwa gharama kama mfumo huu wa sasa ukivunjwa na kupunguza ukubwa wa serikali.
Hawa ni kuwakomesha na serikali tatu, kupe hawa...wanashituka saizi wacha zije hizo tatu wajionee wenyewe!
Serkali tatu si gharama kwa mfano serkali ya Tanganyika inaweza kuwa na Wizara 15 na ile ya muungano inakuwa na wizara 10 au chini.Je ukilinganisha wizara zilizopo sasa na pendokezo langu ni ipi ina gharama?Hii issue ya kuvunja muungano naikubali sana hasa wakiingia wakorofi kama Maalim Seif hivi lakini nani anataka muungano any way?Zanzibar walikwisha vunja muungano wanachotaka sasa ni complete autonomy.Serkali tatu ni bora kwa kuwa moja wapemba hawaitaki.
utafiti huo kafanya bbako mbu zi weee acha ujinga dai taifa lako usiwe mamluki kwa buku 7000Mleta mada, nimependa pendekezo lako la pili, japokuwa lina changamoto zake katika kulifanikisha.
Ila kuhusu serikali ya Tanganyika, kwa tafiti zilizo fanywa, watanzania hawahitaji serikali ya Tanganyika, mambo ya serikali tatu ni kama tunaumega zaidi muungano wetu wa kipekee.