Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Serikali Toeni Elimu Visiwani waache Tabia ya kuzuia watoto wachanga Wasipate VISOGO!

Wabara kaeni na machogo yenu, ndio maana hata mkija Zenjbar ni rahisi kuwatambua,

Mtu ana chogo kama tv ya chogo
Aya Bana .
Ila mabinti wa Ki Zanzibar wanatupenda SS wa Bara wenye machogo
 
Mbona Mo Dewji ana kichogo, na ni bilionea, wewe usio na chogo una nini kumzidi,
kwani nimekwambia nina cha kumzidi mtu? Na pia sample size yako ni ndogo sana (mtu mmoja tu, inawezekana alilelewa na muafrika akamlazimishia kuwa na kichogo.
 
Kwa kuwa ni Mila iliyotumika miaka Mingi Huenda kukawa na madhara ya hapo baadae either ya kimaumbile AU ya kiakili.

Kuna haja ya kulifanyia research hili jambo na kulitolea ufafanuzi
Matokeo ya shule za zanzibar yanaonyesha athari za kubinya binya vichwa vya watoto wachanga.
 
Okay 👍, 👌 Hongera Kwa kukiri..

Kwani Sisi Huku Bara hatuwalazi watoto wetu , Kwa kuwaweka watoto kichogo chini.
tunawalaza lakini Bado , vichogo vyao vipo vimechongoka.

Nyie huko huwa mnaongezea mgandamizi kidogo kidogo, ili kichogo kipotee mapema.

Okay sawa tuje kwenye hoja yako , Mtoto kuwa na kichogo ni kosa? Mkuu elijaah Naomba majibu tafadhali
Ndio Maana watoto wao watupu vichwani coz ya mgandamizo wa Brain kwenye hiyo process!
 
Kwa nini binadamu a apenda kuingilia uhuru wa mwenzake. Una utafiti unaonesha madhara ?. Tumekuwa watu wa common sense kuzifanya ziwe sheria. Mazoea yanaweza onroka yenyewe tu kulingana na muda.
Kongo walikuwa wana shape kichwa kiwe na kisogo wala haijawahi repotiwa madhara yoyote. Masai walivuta masikio, Wahehe waliweka alama mbili usoni.
Mnapenda habari za uzungu na uarabu. Mmelogwa ?
 
Back
Top Bottom