Mbuzingombe
JF-Expert Member
- Apr 14, 2024
- 353
- 828
Wabara kaeni na machogo yenu, ndio maana hata mkija Zenjbar ni rahisi kuwatambua,Sasa unataraji kibaraghashia kitakaaje. Allah kwanza, yaani mtoto wangu ashindwe kuvaa baraghashia
Mkuu lisaa limoja sio shidaMungu huyohuyo kuna sehemu anasema "ole Wao wanao geuza usiku kuwa mchana" .
Yawezekana maana wkt nilienda huko niliona binadamu wengi chogo zimekatwa!!Wenyewe huko Zanzibar ni utamaduni Wao kabisa Yan
kwani nimekwambia nina cha kumzidi mtu? Na pia sample size yako ni ndogo sana (mtu mmoja tu, inawezekana alilelewa na muafrika akamlazimishia kuwa na kichogo.Mbona Mo Dewji ana kichogo, na ni bilionea, wewe usio na chogo una nini kumzidi,
Matokeo ya shule za zanzibar yanaonyesha athari za kubinya binya vichwa vya watoto wachanga.Kwa kuwa ni Mila iliyotumika miaka Mingi Huenda kukawa na madhara ya hapo baadae either ya kimaumbile AU ya kiakili.
Kuna haja ya kulifanyia research hili jambo na kulitolea ufafanuzi
Ndio Maana watoto wao watupu vichwani coz ya mgandamizo wa Brain kwenye hiyo process!Okay 👍, 👌 Hongera Kwa kukiri..
Kwani Sisi Huku Bara hatuwalazi watoto wetu , Kwa kuwaweka watoto kichogo chini.
tunawalaza lakini Bado , vichogo vyao vipo vimechongoka.
Nyie huko huwa mnaongezea mgandamizi kidogo kidogo, ili kichogo kipotee mapema.
Okay sawa tuje kwenye hoja yako , Mtoto kuwa na kichogo ni kosa? Mkuu elijaah Naomba majibu tafadhali