Serikali toeni hadharani gharama za mazungumzo na gharama za kugharamia uchunguzi uliofanywa na kamati 2 za Rais

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Sisi tukiwa kama walipa kodi, tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.

Ni hayo tu.

Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya Prof. Mruma yaende kwa malipo ya bilioni hizo zinazokaribia 700?
 
Kweli aisee maana mafisi wanatumiaga miktadha kama hiyo kupiga ulaji
 
Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.

Ni hayo tu.
Pole leo umeshikwa pabaya endelea kutapatapa imekula kwenu
 
Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.

Ni hayo tu.
Mbona wakiuliza garama za matibabu ya lisu mnatoa matusi

Leo mnataka garama za watu mnao wapinga hivi inakuja kweli

Swala la garama sio tija maana je mlicho yegemea kitokee kimetokea?

Acheni kuhamisha magoli
 
Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.

Ni hayo tu.
Fact..
Nafikiri hilo ni la muhimu sana kwa sasa..
Na tuna haki maana hizo ni pesa za walipa kodi wa Nchi hii.
 
Zitakusaidia nn?? Hapa Unalalama tumepigwa then Unataka ujue na gharama za vikao? Si UTAJINYONGA???
 
Thubutu! Mkuu wameshaweka na cha juu chao. Hapa ni CAG tu akague ili tujue wizi walioufanya.

Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.

Ni hayo tu.

Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya Prof.Mruma yaende kwa malipo ya bilioni hizo zinazokaribia 700?!
 
Salary slip tunayekufahamu hats kama wataitoa hiyo gharama utakuja na jingine. Usichoweza kuhoji were no kitu chochote mbowe akikisema Ana kukifanya. Ningekuona was maana ungekua na ujasiri kama huo. Kuna wakati no wazibmnaingizwa choo cha like na mchaga lakini mnamuita kamanda. Juzi kachomoa swali LA matumizi ya pesa za chama hujahoji.
 
Back
Top Bottom