Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
mpaka watoke madarakani ndiyo itajulikanaSisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Raisi kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Wakishatoa itakusaidia nini?Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Pole leo umeshikwa pabaya endelea kutapatapa imekula kwenuSisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Mbona wakiuliza garama za matibabu ya lisu mnatoa matusiSisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Fact..Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya Prof.Mruma yaende kwa malipo ya bilioni hizo zinazokaribia 700?!
Salary slip tunayekufahamu hats kama wataitoa hiyo gharama utakuja na jingine. Usichoweza kuhoji were no kitu chochote mbowe akikisema Ana kukifanya. Ningekuona was maana ungekua na ujasiri kama huo. Kuna wakati no wazibmnaingizwa choo cha like na mchaga lakini mnamuita kamanda. Juzi kachomoa swali LA matumizi ya pesa za chama hujahoji.Sisi tukiwa kama walipa kodi,tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya Prof.Mruma yaende kwa malipo ya bilioni hizo zinazokaribia 700?!