BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Oct 19, 2017 #21 Unataka Watanzania wanyamaze ili iweje? mitale na midimu said: kuna watu hawaishiwi maneno, du!!! Click to expand...
Unataka Watanzania wanyamaze ili iweje? mitale na midimu said: kuna watu hawaishiwi maneno, du!!! Click to expand...
Black fire JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 755 Reaction score 1,321 Oct 19, 2017 #22 Mndali ndanyelakakomu said: Mbona wakiuliza garama za matibabu ya lisu mnatoa matusi Leo mnataka garama za watu mnao wapinga hivi inakuja kweli Swala la garama sio tija maana je mlicho yegemea kitokee kimetokea? Acheni kuhamisha magoli Click to expand... garama = gharama Ujinga ni mtaji wa ccm
Mndali ndanyelakakomu said: Mbona wakiuliza garama za matibabu ya lisu mnatoa matusi Leo mnataka garama za watu mnao wapinga hivi inakuja kweli Swala la garama sio tija maana je mlicho yegemea kitokee kimetokea? Acheni kuhamisha magoli Click to expand... garama = gharama Ujinga ni mtaji wa ccm
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 13,998 Reaction score 31,757 Oct 19, 2017 #23 Black fire said: garama = gharama Ujinga ni mtaji wa ccm Click to expand... Chadema mtaji wake nini
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,197 Oct 19, 2017 #24 Mndali ndanyelakakomu said: Chadema mtaji wake nini Click to expand... Matukio,kulopoka na wasomi mambumbumbu
Mndali ndanyelakakomu said: Chadema mtaji wake nini Click to expand... Matukio,kulopoka na wasomi mambumbumbu
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Oct 19, 2017 #25 BAK said: Unataka Watanzania wanyamaze ili iweje? Click to expand... kwa hiyo kuropoka ndo utamaduni wenu? waabudu MIGA
BAK said: Unataka Watanzania wanyamaze ili iweje? Click to expand... kwa hiyo kuropoka ndo utamaduni wenu? waabudu MIGA
IROKOS JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 10,182 Reaction score 7,839 Oct 19, 2017 #26 Kadhi Mkuu 1 said: Kwani chadema wanapewa ruzuku sh ngapi, kama unajua nambie maana hizo pia ni kodi zetu. Click to expand... ....Na were tusaidie kujua ruzuku ya chama cha makanikia
Kadhi Mkuu 1 said: Kwani chadema wanapewa ruzuku sh ngapi, kama unajua nambie maana hizo pia ni kodi zetu. Click to expand... ....Na were tusaidie kujua ruzuku ya chama cha makanikia
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,790 Reaction score 288,165 Oct 19, 2017 #27 Tangu lini kusema ukweli kukawa kuropoka? Mwenye kuropoka ni huyo uchwara. Saguda47 said: kwa hiyo kuropoka ndo utamaduni wenu? waabudu MIGA Click to expand...
Tangu lini kusema ukweli kukawa kuropoka? Mwenye kuropoka ni huyo uchwara. Saguda47 said: kwa hiyo kuropoka ndo utamaduni wenu? waabudu MIGA Click to expand...