Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,261
- 3,580
Mkuu ningependa kusikia hoja yako ya kwanini iwekwe kila baada ya miaka mitatu na si kila mwaka. Tafadhali muhenga mwenzangu wa mshahara wa January mnachelewa😁Sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ningependa kusikia hoja yako ya kwanini iwekwe kila baada ya miaka mitatu na si kila mwaka. Tafadhali muhenga mwenzangu wa mshahara wa January mnachelewa😁Sawa
Sio wazo baya, lakini hatuna kiwanda cha kutengeneza Land Rover hapa nchini, sana sana tutakuwa tunatangaza biashara ya watu. Ingekuwa ni product inayotengenezwa hapa nchini hapo sawa.Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza kuvitumia ipasavyo na kupata faida ya kweli.
Nimeshawahi kusema mara nyingi humu kuwa shida kubwa tuliyonayo watanzania ni matumizi sahihi ya rasilimali akili ambayo endapo tungeitumia vizuri tungeweza kufika mbali sana na wananchi wetu wakawa na maisha mazuri sana.
Kwa sasa duniani, Utalii ndo bidhaa ya kukupa hela nyingi zaidi kwa urahisi zaidi. Hivyo tukiutumia huu utalii vizuri inawezekana sana tukawa nchi yenye uchumi mkubwa sana.
Kama nilivyosema kwenye uzi wangu wa jana. Ubunifu uliofanywa kuhusu Land Rover Festival ni jambo kubwa sana ambalo pamoja na kutakiwa kupongezwa, ni jambo linalotakiwa kuwekewa mkakati maalum kuanzia sasa na kufanywa kama tukio kubwa zaidi la kuleta watalii wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali Duniani.
Tukio hili tayari limeshawafikia watu wengi katika media za kimataifa hivyo ni vyema kwa Serikali sasa kuliwekea mkakati rasmi ili liwe na muendelezo mzuri na ikiwezekana liwe tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Afrika.
Nategemea sasa Serikali wataweka miguu yote kwenye tukio hili na kilibrand zaidi ambapo kwa mwaka kesho washiriki watapata kuona vitu vingi zaidi vinavyohusiana na Tanzania ikiwemo utamaduni, mziki, vivutio, madini na mambo mbalimbali.
Kazi kwenu Serikali. Tunatarajia sasa tufunguke zaidi na tusiitwe tena a Sleeping giant of East Africa.
Kwa hiyo kama ninamiliki land rover nahitaji idhini ipi tena?Mmepata kwanza idhini ya Land Rover wenyewe kutumia brand yao hivyo?
Wale hawakuwa watalii bali wazungu wanaoishi humu humu, hasa wengi walitoka Kenya. Ni kweli ni tukio lililoboresha utalii wa ndani. Tatizo langu ni kuwa wenye ubunifu wa hivyo wako wengi, lakini si rahisi kupata ruhusa ya kufanya hivyo kwa milengo ya kisiasa. Unatarajia mtu asiye na madaraka angeweza kupewa nafasi na ushirikiano wa hivyo toka kwenye mamlaka?Wale watalii walioshiriki jana hujawaona?
Kwa hiyo ukinunua chupa mbili za Heineken unaruhusiwa kujianzishia zako Heineken Festival ambapo hapo hapo utakuwa unapromote Safari na Castle Lager?K
Kwa hiyo kama ninamiliki land rover nahitaji idhini ipi tena?
Ubunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza kuvitumia ipasavyo na kupata faida ya kweli.
Nimeshawahi kusema mara nyingi humu kuwa shida kubwa tuliyonayo watanzania ni matumizi sahihi ya rasilimali akili ambayo endapo tungeitumia vizuri tungeweza kufika mbali sana na wananchi wetu wakawa na maisha mazuri sana.
Kwa sasa duniani, Utalii ndo bidhaa ya kukupa hela nyingi zaidi kwa urahisi zaidi. Hivyo tukiutumia huu utalii vizuri inawezekana sana tukawa nchi yenye uchumi mkubwa sana.
Kama nilivyosema kwenye uzi wangu wa jana. Ubunifu uliofanywa kuhusu Land Rover Festival ni jambo kubwa sana ambalo pamoja na kutakiwa kupongezwa, ni jambo linalotakiwa kuwekewa mkakati maalum kuanzia sasa na kufanywa kama tukio kubwa zaidi la kuleta watalii wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali Duniani.
Tukio hili tayari limeshawafikia watu wengi katika media za kimataifa hivyo ni vyema kwa Serikali sasa kuliwekea mkakati rasmi ili liwe na muendelezo mzuri na ikiwezekana liwe tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Afrika.
Nategemea sasa Serikali wataweka miguu yote kwenye tukio hili na kilibrand zaidi ambapo kwa mwaka kesho washiriki watapata kuona vitu vingi zaidi vinavyohusiana na Tanzania ikiwemo utamaduni, mziki, vivutio, madini na mambo mbalimbali.
Kazi kwenu Serikali. Tunatarajia sasa tufunguke zaidi na tusiitwe tena a Sleeping giant of East Africa.
Kuna faida nyingi zitokanazo na landrover paradeWale wazungu wachache hata miatano hawafiki ndo wanakuzuzua
Kama kilimanjaro marathon imeshindwa kukuza utalii sembuse hiyo festival hata miaka miwili hainaKuna faida nyingi zitokanazo na landrover parade
1. Kuitangaza Arusha/ Tanzania kimataifa kama tukivunja guiness record hivyo kuitangaza na kukuza utalii.
2. Imeongeza mapato ya Arusha na wafanya biashara.
3. Watu wanakutana na kupeana michongo
4. Kukuza utalii wa ndani, maana watalii zaidi ya miasita wameenda mbugani.
5. Pia kama ni mtu unaependa maendeleo hii event inakutia hasira ya kupambana.
Ni kuweka strategies tu!Kama kilimanjaro marathon imeshindwa kukuza utalii sembuse hiyo festival hata miaka miwili haina
Kumbuka kilimanjaro marathon ina-zaidi ya miaka 10
Aisee ndio maana mnaitwa Nyumbu ,hivi Kili marathon huna taarifa kuwa kunakuwepo na washiriki yoka mataifa zaidi 50 kila mwakaKama kilimanjaro marathon imeshindwa kukuza utalii sembuse hiyo festival hata miaka miwili haina
Kumbuka kilimanjaro marathon ina-zaidi ya miaka 10
Kweli kabisaKuna faida nyingi zitokanazo na landrover parade
1. Kuitangaza Arusha/ Tanzania kimataifa kama tukivunja guiness record hivyo kuitangaza na kukuza utalii.
2. Imeongeza mapato ya Arusha na wafanya biashara.
3. Watu wanakutana na kupeana michongo
4. Kukuza utalii wa ndani, maana watalii zaidi ya miasita wameenda mbugani.
5. Pia kama ni mtu unaependa maendeleo hii event inakutia hasira ya kupambana.
Naomba kuuliza: hili tamasha ni kwa ajili ya kutangaza utalii Tz au magari ya landrover? Je, kampuni inayotengeneza magari hayo, ambayo ni ya uingereza, imeilipa Tz shilingi ngapi kwa kutangaza bidhaa zake? Na je, baada ya tamasha hili, kutakuwa na tamasha la Toyota na magari aina nyingine? Ingelikuwa ni tamasha la maonesho ya magari aina ya Nyumbu yalokuwa yanatengenezwa kule Ngerengere nisingeuliza maswali hayaUbunifu ndo bidhaa adimu zaidi kwa sasa duniani ambayo endapo utaitumia vizuri unaweza kujihakikishia una survive vizuri katika dunia hii ya ushindani mkubwa.
Kwa miaka mingi, Tanzania imekuwa ikisemwa kuwa na vivutio vingi ikiwemo rasilimali, mbuga, wanyama ila kwa bahati mbaya haijaweza kuvitumia ipasavyo na kupata faida ya kweli.
Nimeshawahi kusema mara nyingi humu kuwa shida kubwa tuliyonayo watanzania ni matumizi sahihi ya rasilimali akili ambayo endapo tungeitumia vizuri tungeweza kufika mbali sana na wananchi wetu wakawa na maisha mazuri sana.
Kwa sasa duniani, Utalii ndo bidhaa ya kukupa hela nyingi zaidi kwa urahisi zaidi. Hivyo tukiutumia huu utalii vizuri inawezekana sana tukawa nchi yenye uchumi mkubwa sana.
Kama nilivyosema kwenye uzi wangu wa jana. Ubunifu uliofanywa kuhusu Land Rover Festival ni jambo kubwa sana ambalo pamoja na kutakiwa kupongezwa, ni jambo linalotakiwa kuwekewa mkakati maalum kuanzia sasa na kufanywa kama tukio kubwa zaidi la kuleta watalii wengi zaidi kutoka maeneo mbalimbali Duniani.
Tukio hili tayari limeshawafikia watu wengi katika media za kimataifa hivyo ni vyema kwa Serikali sasa kuliwekea mkakati rasmi ili liwe na muendelezo mzuri na ikiwezekana liwe tukio kubwa zaidi la kiutalii kwa Afrika.
Nategemea sasa Serikali wataweka miguu yote kwenye tukio hili na kilibrand zaidi ambapo kwa mwaka kesho washiriki watapata kuona vitu vingi zaidi vinavyohusiana na Tanzania ikiwemo utamaduni, mziki, vivutio, madini na mambo mbalimbali.
Kazi kwenu Serikali. Tunatarajia sasa tufunguke zaidi na tusiitwe tena a Sleeping giant of East Africa.View attachment 3124462
Hiyo sio Festival,Car festivals kuifanya kila mwaka itawashinda. Nashauri waweke ata gap la miaka 3.
Inasikitisha sanaIla uwezo wa watanzania ni mdogo yaani serikali imeshindwa kupromote kilimanjaro marathon ili kuvutia watalii ndo sembuse hiyo festival isiyo na kichwa wala miguu sana sana ni kuonyesha ufahari wa watu wachache
Imagine unawapa free time landrover kuwatangazia bidhaa zao bureInasikitisha sana