Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Na siasa ndivyo zilivyo. 😂😂🤣
Huu ni wendawazimu uliopitiliza. Yani kwakuwa wanakuja wageni basi shughuli za watu wengine zisimame?Mliambiwa bajaji na bodaboda zisifike mjini, maana yake usafiri mwingine ruksa
Bajaji na bodaboda ni vurugu tuHuu ni wendawazimu uliopitiliza. Yani kwakuwa wanakuja wageni basi shughuli za watu wengine zisimame?
Hawa ndio maana wakienda kwenye nchi za wanaojitambua huwa wanawalundika kwenye daladala la pamoja maana hawajitambui.
Angalau wangezuia kwa huo muda ambao hao watu watakuwa wanawasili kisha baada ya hapo waruhusu shughuli ziendelee.Bajaji na bodaboda ni vurugu tu
Kumbe kuna haja ya kuwa na usafiri wa treni na barabara za juu ama za kulipiaPolisi mmetoa tangazo la kufunga barabara za mjini sasa swali langu je shughuli za kikazi zitasimama?
kuna Wanafunzi wanasoma mjini huko je na wenyewe waje shule au wakae nyumbani? wekeni wazi utaratibu wenu tujue moja!
suala la kumuachia Murilo pekeyake aongelee suala la ugeni huu anaweza kuleta shida kwa kuwa anaweza kuongelea kipolisi ila akashindwa kujua mambo mengi nje ya kipolisi! watu wa protocol na msemaji wa serikali uje utoe ufafanuzi
Hii ni sawa na una lala kwenye kitanda chenye kunguni halafu akija mgeni unapiga dawa kuwaua kunguni, akiondoka unaendelea na style ile ile ya kuishi na kunguni. Nionavyo mimi aliyeruhusu biashara ya pkpk na bajaj kuingia kati kati ya miji alikosea sana, kungewekwa na utaratibu wafanyie shughuli zao pembezoni ya miji tu ili kuondoa usumbufu na misongamano iyo ya lazima.Mliambiwa bajaji na bodaboda zisifike mjini, maana yake usafiri mwingine ruksa
Kumbe basi kweli Ndiyo maana wanachimbua magorofa chini ya ardhiWabongo wengi vichwa maji sasa serikali imekataza bodaboda na bajaji haijakataza gari binafsi na daladala za garden posta na kivukoni
Arusha ndo wangesumbua watu kabisa. Vibarabara vya Arusha ni finyu balaa. Arusha ikifungwa barabara moja tu ni jam ya kutosha hapo mjini kati.Si wangepeleka hata huko Arusha mkutano wenyewe
Kwahiyo huku Arusha sisi ndo hatuna shughuli za kufanya? Au unadhani tunatumia ungo kama means ya usafiri?Si wangepeleka hata huko Arusha mkutano wenyewe