Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Uongozi wa kipindi hiki tunaomba iongeze makali kwasababu Wananchi wanateseka na wengi wamekuwa waonyonge wanavyoanza kufuatilia haki zao au huduma katika Ofisi za Serikali.
Wafanyakazi wengi wanaofanya kazi kwenye Taasisi za Serikali wamekuwa na kiburi, wanajiona Miungu watu na wala rushwa kwa nyakati hizi.
Pale Ofisi za Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Mkoa wa Arusha watu wanaofuatilia haki zao wanateseka sana, kuna Mwalimu mmoja jina nalihifadhi, aliwahi kuwa mwalimu wangu, alikuwa na mkono mmoja, amezungushwa pale mpaka anaondoka Duniani hajapata haki yake lakini kuna Watu kama watatu nawajua wamekufa pasipo kupewa haki zao, sijajua kama ndugu zao wamefuatilia.
Sasa kuna ndugu yangu mmoja anafuatilia suala lake pale imekuwa ni nenda rudi nenda rudi utafikiri ameenda kuomba pesa wakati ni haki yake.
Siku mmoja nilimsindikiza kuna mazingira pale ni ya ovyo... Kuna jamaa mmoja mnene ana kitambi sijui kwa kushiba rushwa anakiburi alivyokuwa anamjibu yule mzee.
Huyo jamaa anaonekana anapenda kona kona sana.
Juzi ilikuwa naangalia clip ya prank moja, jamaa alikuwa anafanya pale Kenya, jamaa anafanya kama kuangusha pesa pembeni mwa watu huku akiwa busy kupiga simu ila kamera inaonyesha kila kitu, sasa waafrika wote wa kiume na wa kike wanafanya kuikanyaga ile pesa ili waiokote na kusepa nayo hakuna hata mmoja aliyomuambia samahani, umeangusha pesa zako... wote ngozi nyeusi walidhamiria kuiba hizo pesa mpaka wengine walitaka kumpiga jamaa wamnyang'anye na simu kabisa.
Ulaya prank kama hiyo niliangalia jamaa anajidai kipofu anavuta briefcase yenye madola kisha kuna namna anafanya ile briefcase inafunguka nakumwaga pesa,sasa wazungu asilimia 90 walimlokotea nakumsaidia kuifunga vizuri.
Majibu ya PSSSF, bofya hapa ~ PSSSF yatoa ufafanuzi madai kuwa kuna changamoto ya huduma katika Tawi la Arusha