Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

Mel James

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
367
Reaction score
299
Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima.

Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani.

Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa.

Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo.

Hivyo carrot hizi za kenya zimeshusha sana thamani ya carrot ya Tanzania. Anayeumia ni mkulima wetu.

Tunaomba mfunge hiyo mipaka ili mkulima wetu nae apate kitu.
 
Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima. Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani. Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa. Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo. Ivyo carrot hizi za kenya zimeshusha sana thamani ya carrot ya Tanzania. Anayeumia ni mkulima wetu. Tunaomba mfunge hiyo mipaka ili mkulima wetu nae apate kitu.
Huku kwetu ni tsh 800 per kilo. Huko bei ikoje?
 
Duh! Unawaza Carrot Mkuu,

20251117_152800.jpg


SIPINGI UNACHOSEMA LAKINI UKWELI NI KWAMBA GAVOO IKO BUSY SANA KIPINDI HIKI KUWASHUGHULIKIA D9, KWAHYO KUWA NA SUBIRA KIDOGO.

InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Kwanini wao wanaweza waka-afford kuuza kwa bei ndogo nyie mnashindwa ; kama jibu umesema ni ukubwa wao, huenda na nyie mjiunge kwenye cooperatives na muwe wakubwa muuza pamoja...

Ukizingatia bongo watu hawana buying power ukiwapanishia huenda carrots zikawa anasa na wakashindwa kutafuna hiki kiungo muhimu...

Badala ya kuwaambia wafunge mipaka waambie waache kuwafinya raia na matozo....

 
Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa.

Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo.
Kosa ni la nani? Nani anawajibika, wakimzuia Mkulima wa Kenya kuingiza karoti TZ, mkulima wa Tanzania atafanya nini cha ziada ili amfikie Mkenya.
 
umeandika upumbavu

iambie serikali yako iwawezeshe na nyie mlime heka nyingi
 
umeandika upumbavu

iambie serikali yako iwawezeshe na nyie mlime hek

umeandika upumbavu

iambie serikali yako iwawezeshe na nyie mlime heka nyingi
Natafuta mwenyewe me mwanaume siwezi kuilaumu serikali hata siku moja na kula kwa jasho langu na wala sitakuja kuandamana.
 
Kosa ni la nani? Nani anawajibika, wakimzuia Mkulima wa Kenya kuingiza karoti TZ, mkulima wa Tanzania atafanya nini cha ziada ili amfikie Mkenya.
issue sisi tumefungiwa mipaka.
 
Natafuta mwenyewe me mwanaume siwezi kuilaumu serikali hata siku moja na kula kwa jasho langu na wala sitakuja kuandamana.
huilaumu serikali ila unaiomba izuie karot za kenya😁
 
Back
Top Bottom