Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Acha kulilia makarot ndugu zake na kibamia, wanawake wa siku hizi wanapenda matango tupu, anyway tupo bize tunalilia uhuru wa nchi yetu mambo ya biashara yatupishe kidogo.
Kwa hiyo unataka mlaji ale kwa bei kubwa sababu kuna karoti kutoka kenya inauzwa bei ndogo?Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima.
Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani.
Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa.
Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo.
Hivyo carrot hizi za kenya zimeshusha sana thamani ya carrot ya Tanzania. Anayeumia ni mkulima wetu.
Tunaomba mfunge hiyo mipaka ili mkulima wetu nae apate kitu.
Acheni upuuzi nyie, karoti moja sasa hivi inauzwa shillingi mia tatu inakimbilia mia nneSerikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima.
Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani.
Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa.
Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo.
Hivyo carrot hizi za kenya zimeshusha sana thamani ya carrot ya Tanzania. Anayeumia ni mkulima wetu.
Tunaomba mfunge hiyo mipaka ili mkulima wetu nae apate kitu.
Wewe maku unakenua k au? 🚮🚮Acheni upuuzi nyie, karoti moja sasa hivi inauzwa shillingi mia tatu inakimbilia mia nne
Machawa wakina ChoiceVariable wanakenua tu meno.
🖕🥕🥕🥕Wewe maku unakenua k au? 🚮🚮