Huku kwetu ni tsh 800 per kilo. Huko bei ikoje?Serikali tunaomba mzuie Carrot zinazotoka Kenya. Carrot hizi zinamuumiza sana mkulima. Ni kama kumpambanisha mkulima wa Tz na Kenya kwenye soko tena la nyumbani. Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa. Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo. Ivyo carrot hizi za kenya zimeshusha sana thamani ya carrot ya Tanzania. Anayeumia ni mkulima wetu. Tunaomba mfunge hiyo mipaka ili mkulima wetu nae apate kitu.
Utawaza nini mkuu? Maisha yanasonga watoto wanatakiwa wale na wasomeDuh! Unawaza Carrot Mkuu,
View attachment 3503194
SIPINGI UNACHOSEMA LAKINI UKWELI NI KWAMBA GAVOO IKO BUSY SANA KIPINDI HIKI KUWASHUGHULIKIA D9, KWAHYO KUWA NA SUBIRA KIDOGO.
InaumaSana/ItHasAForkVery
Unamaanisha nini?GAVOO IKO BUSY SANA KIPINDI HIKI KUWASHUGHULIKIA D9,
Actually ni 1,000 juzi jmosi. Waja leo waondokanleoWapi huko mkuu? Iyo bia ni ya mtumiaji wa mwisho au mfanyabiashara anajumua?
Kosa ni la nani? Nani anawajibika, wakimzuia Mkulima wa Kenya kuingiza karoti TZ, mkulima wa Tanzania atafanya nini cha ziada ili amfikie Mkenya.Wakulima wengi wa nyumbani sio wakubwa na sio wa kulima maeneo makubwa.
Mtu anayelima robo acre na mtu anayelima acre hamsini sokoni anayeumia ni yule mdogo.
Kipaumbele chao kwasasa ni Maandamano ya Gen Z na sio jambo lengineUnamaanisha nini?
umeandika upumbavu
iambie serikali yako iwawezeshe na nyie mlime hek
Natafuta mwenyewe me mwanaume siwezi kuilaumu serikali hata siku moja na kula kwa jasho langu na wala sitakuja kuandamana.umeandika upumbavu
iambie serikali yako iwawezeshe na nyie mlime heka nyingi
Nani kamfungia mwenzake mipaka, ingefunguliwa nini matokeo yake, naomba kujifunza.issue sisi tumefungiwa mipaka.
huilaumu serikali ila unaiomba izuie karot za kenya😁Natafuta mwenyewe me mwanaume siwezi kuilaumu serikali hata siku moja na kula kwa jasho langu na wala sitakuja kuandamana.