Serikali tunaomba mzuie karoti zinazotoka Kenya

Acha kulilia makarot ndugu zake na kibamia, wanawake wa siku hizi wanapenda matango tupu, anyway tupo bize tunalilia uhuru wa nchi yetu mambo ya biashara yatupishe kidogo.
 
Kwa hiyo unataka mlaji ale kwa bei kubwa sababu kuna karoti kutoka kenya inauzwa bei ndogo?
Hii ni akili ya aona gani?
Kuna jamaa yangu alienda kununua bati nairobi, akaja kuezekea hapa morogoro. Alisave kiasi cha pesa.
Mimi nikafikiri karoti zina shida kwa matumizi ya binadamu. Kumbe unaogopa bei?
 
Acheni upuuzi nyie, karoti moja sasa hivi inauzwa shillingi mia tatu inakimbilia mia nne
Machawa wakina ChoiceVariable wanakenua tu meno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ