otembei
New Member
- Sep 19, 2022
- 3
- 0
Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa.
Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji.
Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto wanagongwa sana,mizigo yetu inaibiwa hasa na hakuna hatua inayochukuliwa na viongozi wa vivuko vinajazwa sana na abiria wanachanaganyika na magari upepe wa sasa ni hatali