Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Traffic kubwa imefanyika kati ya Bukoba na mikoa mingine. Tutegemee lolote!
Bado inaendelea huku vijana wa hovyo wakikenua.Traffic kubwa imefanyika kati ya Bukoba na ikoa mingine. Tutegemee lolote!
Waziri wa Afya ametaja ugonjwa ulioua watu 5 huko Bukoba kuwa ni Marbug disease ambao ni jamii ya Ebola...
Tangu umeingia mabus tokea huko yako barabarani.
Mola atupishilie mbali.
Uzi wangu wa kwanza nilikuwa nimefurahishwa na uwazi wa Wizara ya Afya ya awamu ya 6 katika kutangaza Gonjwa hili, kama ingelikuwa enzi za Shetani huenda tungeambiwa tuseme "changamoto ya kutoka damu na kuzimia"😀Mbona uzi wako wa kwanza waliufuta?
Na inawezekana imesemwa hivyo kupunguza ukali wa maneno,maana ukisema ni ebola direct tiyari ni taharukiNiliandka humu kuwa dalili hizo ni kama za ebola, majitu humu, sukuma gang iliyopotea ikatoa makamasi kuwa naleta taharuki! Marbug ni jamii ya ebola... severity, mortality rate havipishani sana hata kidogo
Let people know that it is ebola and take serious precautionNa inawezekana imesemwa hivyo kupunguza ukali wa maneno,maana ukisema ni ebola direct tiyari ni taharuki
Mkuu anthrax sio ukoo sawa na Marburg,. Anthrax ni bacteria infection, Marburg ni virus infection, ukoo wa Marburg( hemorrhagic diseases) ni Ebola (yes), degue, chikungunya nk,Marbug, Ebola na Anthrax( kimeta) ni ukoo mmoja.
Uko sahihi [emoji817]%Na inawezekana imesemwa hivyo kupunguza ukali wa maneno,maana ukisema ni ebola direct tiyari ni taharuki
Sawa sawaMkuu anthrax sio ukoo sawa na Marburg,. Anthrax ni bacteria infection, Marburg ni virus infection, ukoo wa Marburg( hemorrhagic diseases) ni Ebola (yes), degue, chikungunya nk,