Serikali: Ugonjwa ulioambukiza watu 8 na kuua 5 Mkoani Kagera ni Marburg

Serikali: Ugonjwa ulioambukiza watu 8 na kuua 5 Mkoani Kagera ni Marburg

Mkuu anthrax sio ukoo sawa na Marburg,. Anthrax ni bacteria infection, Marburg ni virus infection, ukoo wa Marburg( hemorrhagic diseases) ni Ebola (yes), degue, chikungunya nk,
Nimesharekebisha Mkuu
 
Let people know that it is ebola and take serious precaution
ILA NYIE MASENGE MNASTAHILI CHUMA YA MOTO AISEE.

MKO NEGATIVE SANA NA HII NCHI, KILA KITU NI KUCHOCHEA NEGATIVITY TU.

SIKU NIKIWA RAIS NITAWABAMIZA KWERI KWERI... NTAANZA NA WEWE MMAMA MTU MZIMA RETIRED.
 
Mimi sio mtu uchwara nmetaja kundi la virus wanaosababisha Marburgs

Ni kundi moja na ebola virus ambalo vaccine na dawa zake Hamna zaidi zaidi Una control symptoms
Bwana weeeh, peleka udokta uchwara kule.

Tangu mlipoanza kuimba chorus za corona niliwaona wajinga sana nyie.

Mnaweza kutumika kuangamiza watu kwa ujinga tu wa kutojitambua.

Ukitaja majina ya virus ndio nini haswa? UKASUKU TU.
 
Ok
 
Marburg virus ni waliopo kwenye kundi la hemorrhagic fever viruses.

Huyu bwana mkubwa yupo na kamanda Ebola virus ,lassa virus na yellow fever virus.

Ni hatari, tujikinge na tumtangulize Mungu.
Kwenda zako huko!! Unafikiri ukitaja majina ya virus ndio nini? ili uonekane msomi? UCHWARA.

HAYA MAKASUKU ni hatari sana kwa hili taifa. Mtu akishakariri vitini vya MEDICAL SCHOOL anaanza kuleta taharuki kwenye jamii!!

Hatutaweza kuruhusu ujinga wa MAKASUKU uangamize taifa. NO!! Kutaja majina ya virus sio hoja. Unajidanganya!

AND WE SHALL DEAL WITH YOUR NONSENSE TO THE MAXIMUM POSSIBLE LENGTHS AND WIDTHS.
 
Nilisema serikali itoe tamko kuwa kwa dalili hizi let us take precaution maana dalili hizi zinashabihiana na ebola. Wakati tunajiridhisha ni ugnjwa gani take precautions hiz na hizi
WE MMAMA UNA NONGWA JAMANII, YAANII UNA NONGWA NA GUBU KALI LA MWENDOKASII.

UNATAKA MPAKA MMEO AKWAMBIE CHUKUA TAHADHARI NDIO UANZE KUVAA MABARAKOA?

KWANINI USIVAE MABARAKOA BILA KUSUBIRI MPAKA MMEO AKUELEKEZEE!!

GUBU LAKO NI TETE!! UMESHINDIKANA WE MAMA.
 
Sehemu kubwa ya maisha yetu Waafrika ni kama bahati nasibu na kusubiria rehema za nature tu.
Nilisema serikali itoe tamko kuwa kwa dalili hizi let us take precaution maana dalili hizi zinashabihiana na ebola. Wakati tunajiridhisha ni ugnjwa gani take precautions hiz na hizi
 
Kwenda zako huko!! Unafikiri ukitaja majina ya virus ndio nini? ili uonekane msomi? UCHWARA.

HAYA MAKASUKU ni hatari sana kwa hili taifa. Mtu akishakariri vitini vya MEDICAL SCHOOL anaanza kuleta taharuki kwenye jamii!!

Hatutaweza kuruhusu ujinga wa MAKASUKU uangamize taifa. NO!! Kutaja majina ya virus sio hoja. Unajidanganya!

AND WE SHALL DEAL WITH YOUR NONSENSE TO THE MAXIMUM POSSIBLE LENGTHS AND WIDTHS.
Ahsante ,Naomba nisamehe Sana Kwa comment yangu ya kuudhi.

Ramadhan njema kwako Chief.
 
Hawa CCM kuwaamini nilishaacha. Maana kama walituficha kuwa Hayati yupo hai anachapa kazi hawezi kushindwa kutuficha magonjwa ya mlipuko yanapotokea kwa hofu ya kuwajibishwa kwa uzembe.
Mbona kuhusu ugonjwa huu hawajaficha
 
Back
Top Bottom