Nimesharekebisha MkuuMkuu anthrax sio ukoo sawa na Marburg,. Anthrax ni bacteria infection, Marburg ni virus infection, ukoo wa Marburg( hemorrhagic diseases) ni Ebola (yes), degue, chikungunya nk,
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Filoviruses hatari Sana Hawa
Ushindwe kwa jina la Jamuhuri.Wametumia Murbug kupunguza ukali tu ila hiyo ni typically Ebola, watu wa afya mtakao enda huko jiongezeni.
Sawa[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Nakuona DOKTA UCHWARA unajitutumua!!
Hii nchi MAKASUKU hayawezi isha.
ILA NYIE MASENGE MNASTAHILI CHUMA YA MOTO AISEE.Let people know that it is ebola and take serious precaution
Bwana weeeh, peleka udokta uchwara kule.Mimi sio mtu uchwara nmetaja kundi la virus wanaosababisha Marburgs
Ni kundi moja na ebola virus ambalo vaccine na dawa zake Hamna zaidi zaidi Una control symptoms
OkBwana weeeh, peleka udokta uchwara kule.
Tangu mlipoanza kuimba chorus za corona niliwaona wajinga sana nyie.
Mnaweza kutumika kuangamiza watu kwa ujinga tu wa kutojitambua.
Ukitaja majina ya virus ndio nini haswa? UKASUKU TU.
Bukoba iwekwe Karantini kwanza.
Kwenda zako huko!! Unafikiri ukitaja majina ya virus ndio nini? ili uonekane msomi? UCHWARA.Marburg virus ni waliopo kwenye kundi la hemorrhagic fever viruses.
Huyu bwana mkubwa yupo na kamanda Ebola virus ,lassa virus na yellow fever virus.
Ni hatari, tujikinge na tumtangulize Mungu.
WE MMAMA UNA NONGWA JAMANII, YAANII UNA NONGWA NA GUBU KALI LA MWENDOKASII.Nilisema serikali itoe tamko kuwa kwa dalili hizi let us take precaution maana dalili hizi zinashabihiana na ebola. Wakati tunajiridhisha ni ugnjwa gani take precautions hiz na hizi
Nilisema serikali itoe tamko kuwa kwa dalili hizi let us take precaution maana dalili hizi zinashabihiana na ebola. Wakati tunajiridhisha ni ugnjwa gani take precautions hiz na hizi
Bukoba ni Mkoa??Yaani uweke mkoa mzima karantini?
Una akili timamu?
Ahsante ,Naomba nisamehe Sana Kwa comment yangu ya kuudhi.Kwenda zako huko!! Unafikiri ukitaja majina ya virus ndio nini? ili uonekane msomi? UCHWARA.
HAYA MAKASUKU ni hatari sana kwa hili taifa. Mtu akishakariri vitini vya MEDICAL SCHOOL anaanza kuleta taharuki kwenye jamii!!
Hatutaweza kuruhusu ujinga wa MAKASUKU uangamize taifa. NO!! Kutaja majina ya virus sio hoja. Unajidanganya!
AND WE SHALL DEAL WITH YOUR NONSENSE TO THE MAXIMUM POSSIBLE LENGTHS AND WIDTHS.
Mbona kuhusu ugonjwa huu hawajafichaHawa CCM kuwaamini nilishaacha. Maana kama walituficha kuwa Hayati yupo hai anachapa kazi hawezi kushindwa kutuficha magonjwa ya mlipuko yanapotokea kwa hofu ya kuwajibishwa kwa uzembe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bukoba ni Mkoa??
WE JICHEKESHE TU.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]