Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

Watasoma wakirudi shule tuu kwani kuna shida gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili za ki-utu uzima ni rahisi mkuu ila kwa akili za kiuanafunzi, itawachukua muda na nguvu kidogo kurejea katika hali ya kitaaluma psychologically maana kukaa mwezi mzima na sehemu bila serious classes lazima akili ilale kidogo, hivyo wakitafutiwa namna itakuwa bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watuambie bajeti ya sherehe ya MEI MOSI imepelekwa wapi?? Na muungano ni kweli bajeti yake is ONLY 500M??

Everyday is Saturday...................... 😎
 
Ustaarabu kitu kidogo sana joh....kwan ungemjibu kiustaarabu asingeelewa mpka umtukane!?
 
We subiri kufa tu! Kama unadhani magufuli atakuokoa usife kwa corona utakuwa umechanganyikiwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunafanya masiala sana ila hali ni mbaya sana kwa majirani sio hapa kwetu, hapa kwetu wagonjwa ni wachache sana
 
Hapo kwenye kipengele cha kuomba tuchangie mfuko wa Covic19 Waziri Mkuu ameongea kwa unyenyekevu wa dhati kweri-kweri nimemuelewa.

Ni vema sasa ofisi ya waziri mkuu pekee ndiyo iwe inatoa haya matamko kuhusu Covic19 na hao wengine watulie ofisini au majumbani wasikimbilie kushika mic na kuzoza bila ulazima.
 
Kweli kabisa mbaya zaidi hata waliopona wanajumulishwa inazidi kutia hofu watu tu.
 
Tayari kuna baadhi ya wilaya zimeishaanza kutoa mafunzo ya nyumabani kwa wanafunzi wake.
 
Rais John Magufuli amesitisha maadhimisho ya Sherehe za Muungano (Aprili 26) pamoja na Sikukuu ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ili kuepuka msongamano na kuendelea kuzuia virusi vya corona visisambae zaidi #MwananchiUpdates
 
Angalizo langu wanafunzi wasibweteke huko majumbani wajisomee vya kutosha, wazazi hakikisheni mnalisimamia vyema hili na uzuri dunia imerahisishwa vitu vingi vinapatikana vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…