Mmmh kwamba!!?Angalizo langu wanafunzi wasibweteke huko majumbani wajisomee vya kutosha, wazazi hakikisheni mnalisimamia vyema hili na uzuri dunia imerahisishwa vitu vingi vinapatikana vyema.
Hivi hamkujua ni tatizo kubwa, ni kubwa kweli. Tusikie tuache ushabiki wa vyama usio na Tija katika janga hili.Hii imeshakuwa ni tatizo kubwa
Kweli kabisa mbaya zaidi hata waliopona wanajumulishwa inazidi kutia hofu watu tu.
Sioni kama unaisha leo huu labda January.Dunia haitakuwa kama mwanzo tena,tuombe tu ugonjwa uishe haraka
Lazima itangazwe kuna takwimu zinawekwa za nchi zote duniani ya idadi iliyoambukizwa na idadi ya waliofariki. Hii ni kama kuweka kumbukumbuku na nafikiri pia kutakuwa na msaada wa kifedha kukabiliana na hili janga. Nchi zote zinatangazaNashauri serikali isitangaaze visa hivi vya Corona wanatia hofu tu wananchi, Kwani huu ugonjwa upo dar Arusha na Zenji pekee?
Jibu ni No upo kila mahali hadi vijijini ndani ndani huko mikoani. Ila wanaishi kwa amani wanaugua na kupona bila kujua. Sasa wanavyozidi kutanganza wananchi wakijaa hofu Si miili itashindwa kupambana na magonjwa ya mwili.
Hakuna kitu kibaya kama hofu. Kinachoua ni hofu.
Mkuu siwezi kufanya uzembe aiseee ata kama serikali imezembeaMkuu korona ipo ,ukifanya uzembe inakukoromea,Mungu atusaifie sana tu,hakuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kipengele cha kuomba tuchangie mfuko wa Covic19 Waziri Mkuu ameongea kwa unyenyekevu wa dhati kweri-kweri nimemuelewa.
Ni vema sasa ofisi ya waziri mkuu pekee ndiyo iwe inatoa haya matamko kuhusu Covic19 na hao wengine watulie ofisini au majumbani wasikimbilie kushika mic na kuzoza bila ulazima.
Huu ugonjwa nionavyo hauishi leo ujue eti.
Unamwambia nani?Hali bado tete
Mkuu ninae form six PCM ila GS inamsumbua sanaDah nahisi nitarudi Chuo nikiwa na miaka 50!..
Oy wakuu niko mwanza kama una mtoto wako naweza mfundisha masomo haya physics and mathematics. Hila pia biology and chemistry, pia natunga mtihani wa somo lolote na kukutumia whatsap pamoja na marking scheme (hiki uweze kum guide mtoto wako)lengo nipate hela ya vocha tu huku mwanao akiendelea kuelimika..ukihitaji namba nifate PM.
Active try to make some changes to the title of the post so that it can be read well
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mkuu, utatumia vifaa gani kuwafikia wanafunzi wako Kwa kuwa hatupasi kuchangamanaDah nahisi nitarudi Chuo nikiwa na miaka 50!..
Oy wakuu niko mwanza kama una mtoto wako naweza mfundisha masomo haya physics and mathematics. Hila pia biology and chemistry, pia natunga mtihani wa somo lolote na kukutumia whatsap pamoja na marking scheme (hiki uweze kum guide mtoto wako)lengo nipate hela ya vocha tu huku mwanao akiendelea kuelimika..ukihitaji namba nifate PM.
Aisee Hongera na ahsante sana, Matusi yako nimeyapokea. Kua na amaniWe fala sana mataifa makubwa kama Equador wamepoteza watu 800 Mataifa Makubwa wamekufa maelfu ya watu then unakuja na kauli za kifala kama hizi nia yako ni nini hasa?we unafikiri mpaka serikali inatangaza hivi unafikiri wao wanapenda hali kama hii ?serikali imekaa chini ikaona bora ifanye hivi kuokoa uhai maana mtu mmoja akifa ni Taifa limepoteza nguvu kazi MataK*** yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Panapowezekana nitamsaidia mkuu japo nimesoma PCB advance...hila na mitihani ya mathematics naweza mtumia pia.Mkuu ninae form six PCM ila GS inamsumbua sana