The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Bei zake unazijua mkuu? Si chini ya bil.40 sasa viwanja 10 inamaana haitapungua bil.500.KAMA NI VIWANJA VYA KISASA NAAMINI VITAKIDHI FIFA STANDARDS NA VITAFAA KUHOST MASHINDANO MAKUBWA LOCAL NA INTERNATIONAL
WATAZAMAJI 40,000, 50,000, 60K NA KUENDELEA
Well kama bajeti inaruhusu B 500 kwa gavoo sio kesi, malengo makuu nahisi ni ya kimichezo zaidiBei zake unazijua mkuu? Si chini ya bil.40 sasa viwanja 10 inamaana haitapungua bil.500.
Pili wanajenga Kwa malengo yapi hasaa?
Tatizo sisi maskini tunawaza ngono tuu...kazi kuzaana bila mpango. Ina maana serikali kila mwaka kazi yake iwe kujenga madarasa tu kisa ngono za wananchi wake zilizopitiliza.Kujenga kiwanja kimoja chenye kukidhi viwango vya kimataifa kwa kujibana sana ni Tshs. bilioni mia moja, chini ya hapo ni kujidanganya bure.
Sidhani kama serikali hii ina uwezo wa kujenga viwanja vyenye hadhi hiyo kama miradi yote ya sasa inasuasua kwa sababu ya kutokuwa na uhakika wa kukopeshwa na hivyo viwanja bila shaka haviwezi kujengwa bila mikopo.
Kwa serikali inayoongozwa na watu wenye akili haiwezi kuongelea ujenzi wa viwanja vya michezo wakati sasa hivi shule karibu zote za mijini hazina madarasa ya kutosha wala viwanja vya michezo kwani viwanja vyote ni majengo tupu.
Kuna haja ya serikali kuanzisha mradi maalum wa kujenga maghorofa kwenye shule zote za mijini ili maeneo yapatikane tena kwa ajili ya viwanja vya shule na swala la viwanja vya mpira mikoani lisogezwe kwanza mbele.
Hivyo vikubwa sana ...siti 30000 zinatosha sanaKAMA NI VIWANJA VYA KISASA NAAMINI VITAKIDHI FIFA STANDARDS NA VITAFAA KUHOST MASHINDANO MAKUBWA LOCAL NA INTERNATIONAL
WATAZAMAJI 40,000, 50,000, 60K NA KUENDELEA
Hawa jamaa kwa kweli walituweza...daaah. Rest easy Jiwe, ulijua kutukomoa
kuhost mashindano makubwa ?Hivyo vikubwa sana ...siti 30000 zinatosha sana
Naomba kuuliza?
Hivi CCM wanaweza kukubali serikali ijenge kiwanja cha kisasa katika mkoa ambao CCM wana kiwanja chao kikubwa, japo kimechoka ila huwa wanakikodisha wanapata hela ya matumizi?
Kama CCM watakubali serikali ijenge viwanja, basi kweli CCM watakuwa wamebadilika!
ukizungumzia Afcon Ni pamoja na kupkea wageni. Huko mikoani Kuna sehemu za maana za malazi.KAMA NI VIWANJA VYA KISASA NAAMINI VITAKIDHI FIFA STANDARDS NA VITAFAA KUHOST MASHINDANO MAKUBWA LOCAL NA INTERNATIONAL
WATAZAMAJI 40,000, 50,000, 60K NA KUENDELEA
ukizungumzia Afcon Ni pamoja na kupkea wageni. Huko mikoani Kuna sehemu za maana za malazi.KAMA NI VIWANJA VYA KISASA NAAMINI VITAKIDHI FIFA STANDARDS NA VITAFAA KUHOST MASHINDANO MAKUBWA LOCAL NA INTERNATIONAL
WATAZAMAJI 40,000, 50,000, 60K NA KUENDELEA