huyo ni mwalimu ila anaogopa kuandika kuandika kuwa yeye ni mwalimu.kiukwel walim kama mngejua sisi tunavyotamania kama tungepata ajira kama zenu tungefurah sana.mimi nimemaliza chuo UDSM 2007 hadi leo sina ajira nasota kitaa.
kwani umeondoka...Niko dar es salaam????
kwani umeondoka...
mkuu unaweza kuwa umenogewa si unajua wanawake wazuri wako dar!!kwenda dar nakumaliza siku tatu tiyari amekuwa mkazi wa dar.