Serikali wahurumieni Walimu

Serikali wahurumieni Walimu

raamar

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2014
Posts
252
Reaction score
23
Jaman Leo nimeenda NMB kutoa vihela vyangu vya matumizi,khaaa Walimu A/c zao cjui zimekuaje hazitoi hela,hata ukiingia ndani mambo Yale Yale, hv nyinyi Serikali mbna hamna uruma na hawa watu waliotusomesha sisi na nyie?

mbna nyinyi A/c zenu hazisumbui?,basi mngetoa taharifa jamani,wahurumieni hawa watu,wengine wametoka mbali huko buselesele,aaah!!





Napenda ku
 
Walimu serikali haitambui, bora hata wafungaji na wakulima.
 
Shida siku hizi watoto wa wakubwa wanasoma nje ya nje so haina haja ya kuijali elimu wala walimu wake since hawawahusu, hii ndo Bongo
 
Walimu acha wazinguliwe. Huwa wanahujumu mno mabadiliko kwa nafasi zao katika chaguzi mbalimbali.
 
huyo ni mwalimu ila anaogopa kuandika kuandika kuwa yeye ni mwalimu.kiukwel walim kama mngejua sisi tunavyotamania kama tungepata ajira kama zenu tungefurah sana.mimi nimemaliza chuo UDSM 2007 hadi leo sina ajira nasota kitaa.

Daah kaka umesoma course gani Udsm kka mbona ni mda mrefu sana kaka 2007_2015 hii??
Pole sana Mungu akujalie utapata tu.

Mimi ndo nmehitimu UDSM mwaka jana November 2014.
 
Viongozi Wa Tanzania Wangekuwa Meno Ningeyangoa Yote Nibaki Kibogoyo!
 
Mimi ni mwalimu lakini ngoja wakose tu hizo hela. Ujue walimu asilimia kubwa niwajinga sana, hasa walosoma diploma na cheti. tena utawakuta na matisheti ya CCM, wengine makada wa chama tawala. Pia hawana ushirikiano kwani wao ndo wanaweza kuitoa serikali madarakani
 
Back
Top Bottom