Serikali walikosea kwenye swala la uuzaji wa mahindi

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
wakuu.
kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya,
Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza utafiti wamegundua hakuna tatizo la njaa hivo mahindi yauzwe nje.
wakati zambia wana mahindi bora kuliko ya kwetu na bei ni ndogo sasa mnatarajia mkulima anufaike au mnamtia umaskini.
 
Taarifa umeipata wapi ndugu?
Na mahindi ya Zambia si lazima yapitie Tanzania ndipo yaende Kenya?(kwa njia rahisi)
Nadhani umefika wakati wawakilishi wa mataifa haya wakae na kuzungumza. Hizi "stunts" hazitamfaidisha yeyote yule.
 
Na sisi pia hatutaki kuuza nje mahindi yetu na ikibid tutapeleka Kongo
 
Kwani lazima yauzwe Kenya, hapo kwa wananchi wa Sumbawanga, Mbeya, Songwe na Ruvuma watayauza Zambia na Kenya watayanunua wakijua yametokea Zambia
 
mkuu hujui kama kuna ndege za mizigo zenye uwezo wa kubeba mpaka tani 500?
 
Nani apotezee muda kuzungumza na mtu ambaye unamuona ana uwezo mdogo wa kufikiri
 
Mwenye njaa huwa hakatai chakula hata siku moja. Watanunua tu ni suala la muda
 
Mpaka nimekumbuka yule Jamaa anayefanana na SETHI mwenye kiwanda cha UNGA TZ aliyekuwa akitumia stickers zenye nembo za Kenya.
 
Kwani lazima yauzwe Kenya, hapo kwa wananchi wa Sumbawanga, Mbeya, Songwe na Ruvuma watayauza Zambia na Kenya watayanunua wakijua yametokea Zambia
zambia kuna settlers wanaozalisha mahindi mengi na yanaubora mkubwa hao ni wale mugabe aliowafukuza zimbabwe walienda zambia kuendelea na shughuli zao
 
Tusifunge mipaka jamanii ya biashara ya mazao,, tuiche itajifunga yenyewe,,,
Hivi jamani hii Tz nani kailoga,,
Maaana hizi political state zinatesa,,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…