wakuu.
kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya,
Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza utafiti wamegundua hakuna tatizo la njaa hivo mahindi yauzwe nje.
wakati zambia wana mahindi bora kuliko ya kwetu na bei ni ndogo sasa mnatarajia mkulima anufaike au mnamtia umaskini.