Serikali walikosea kwenye swala la uuzaji wa mahindi

Serikali walikosea kwenye swala la uuzaji wa mahindi

Nafikiri linaweza kuwa kosa hasa kwa wakati huu ambao tunasema tunataka nchi ya viwanda. Endapo kama ndoto hii itatimia basi tutahitaji masoko ya nje mengi kadiri tuwezavyo.
Kwasababu tunajiwekea vikwazo wenyewe!!
 
wakuu.
kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya,
Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza utafiti wamegundua hakuna tatizo la njaa hivo mahindi yauzwe nje.
wakati zambia wana mahindi bora kuliko ya kwetu na bei ni ndogo sasa mnatarajia mkulima anufaike au mnamtia umaskini.
Yaan hatujui kucheza na fursa kabsaa, kama kuna uhitaji mkubwa wa mahindi si bora wakulima wawezeshwe kuzalisha sana tuuze mpka nje?
 
Taarifa umeipata wapi ndugu?
Na mahindi ya Zambia si lazima yapitie Tanzania ndipo yaende Kenya?(kwa njia rahisi)
Nadhani umefika wakati wawakilishi wa mataifa haya wakae na kuzungumza. Hizi "stunts" hazitamfaidisha yeyote yule.

Yanaweza kupitia Beira lakin pia hatutathubutu kuzuiwa mizigo ya Zambia wasiejeghairi kutumia Bandar yetu wakahamia Mozambique
 
Kusema ukweli diplomasia yetu imepwaya sana chini ya serikali ya john pombe maguful

Huyo waziri Wa mashauri ya kigeni hamna ktu hat a robo ya Bernard membe hafiki amepwaya mno mno mno
 
wakuu.
kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya,
Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza utafiti wamegundua hakuna tatizo la njaa hivo mahindi yauzwe nje.
wakati zambia wana mahindi bora kuliko ya kwetu na bei ni ndogo sasa mnatarajia mkulima anufaike au mnamtia umaskini.
kuna watu humu wanajaribu kutoa hisia zao tu, hivi unaweza kutoa ushahidi kwa kauli hii. ni nani kasema. utapimwa mkojo kama unaleta uchonganishi hapa
 
Back
Top Bottom