kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,313
- 7,714
Mbona pale Tunduma watu wanaacha magari wanayopeleka zambia.Mizigo gani ya Transit inatozwa kodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona pale Tunduma watu wanaacha magari wanayopeleka zambia.Mizigo gani ya Transit inatozwa kodi?
Kwasababu tunajiwekea vikwazo wenyewe!!Nafikiri linaweza kuwa kosa hasa kwa wakati huu ambao tunasema tunataka nchi ya viwanda. Endapo kama ndoto hii itatimia basi tutahitaji masoko ya nje mengi kadiri tuwezavyo.
Yaan hatujui kucheza na fursa kabsaa, kama kuna uhitaji mkubwa wa mahindi si bora wakulima wawezeshwe kuzalisha sana tuuze mpka nje?wakuu.
kama kawaida serikali ilikurupuka kukataza mazao kuuzwa nje, mkumbuke soko kubwa la mahindi ya Tanzania lipo kenya,
Serikali wanachekesha mno eti walizuia mahindi kutoka nje ndio wakaanza utafiti wamegundua hakuna tatizo la njaa hivo mahindi yauzwe nje.
wakati zambia wana mahindi bora kuliko ya kwetu na bei ni ndogo sasa mnatarajia mkulima anufaike au mnamtia umaskini.
Taarifa umeipata wapi ndugu?
Na mahindi ya Zambia si lazima yapitie Tanzania ndipo yaende Kenya?(kwa njia rahisi)
Nadhani umefika wakati wawakilishi wa mataifa haya wakae na kuzungumza. Hizi "stunts" hazitamfaidisha yeyote yule.
kuna watu humu wanajaribu kutoa hisia zao tu, hivi unaweza kutoa ushahidi kwa kauli hii. ni nani kasema. utapimwa mkojo kama unaleta uchonganishi hapawakuu.