Serikali: Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi walioajiriwa ni elfu nane pekee

Mbona siku inatangazwa ilisemwa ni 13,000?
Yani hawa mawatu yakisha danganya, watu wakafukunyua na kujua ukweli na kuuweka hadharani lazima waweweseke. Hawapendi kuwa wakweli kila kitu kizuri wanataka figa iwe juu, sasa kwenye baya mfano yakitokea maafa wakafariki watu 8 utasikia wanasema ni wawili tu.
 
Kutokana na ufafanuzi waliotoa makatibu wakuu kuhusu madudu ya ajira za uwalimu wameeleza kuwa bado kuna ajira 5000 zinakuja.

Walimu hao wataajiriwa hawamu hii ya bajeti 2020/2021 abayo inategemea kuisha mwezi wa sita.

Hivyo walimu tuwe na subila kuhusu hizo ajira.
 
Na hao wenye namba za wengine walio mashuleni wamesemaje? Au wamepita kimya?
 
Ndumbaro acha upumbavu wa kina ndugai na mahera. Tangazo la ajira lilikuwa walimu 13,000. Baada ya wananchi kuona mapungufu makubwa kwenye orodha yenu ya waajiriwa ndiyo unakuja na usanii wa kijinga eti eti hii ni awamu ya kwanza ya walimu 8000. Wengine 5000 itakuwa awamu ya pili. Bila ya kukosolewa haya maelezo ungetoa ahera? Kwa taarifa yako hata awamu hii ya kwanza hawajafikia idadi ya 8000. Majina wamejirudiarudia na wengine hawana sifa.bHivi ujinga huu mtaacha lini? Wote mmekuwa watu wa kuokotwa majalalani? Serikali gani hii?
 
Ili wanafunzi wafundishwe na nani ?
 
Unamaanisha serikali iachane na kuajiri walimu, mwanao utamfundisha wewe boya.
 
Wilaya kwa mfano ya kilolo Imepangiwa walimu 13 tu, kumbe nyingine kama Chatttle 130, hii sawa???
 
Mzee ushawahi kufanya biashara au unatype tu maandishi...nenda kwenye field usifsnye typing tu na guessing
 
Mzee ushawahi kufanya biashara au unatype tu maandishi...nenda kwenye field usifsnye typing tu na guessing
Mkuu ,tatizo hum kila mtu akitoa ushuhuda, ataamini, watu wanatoa mbali ,au tunatoka mbali
Umeuliza Kama nimewai fanya biashara, jibu ni ndio,
Na nafanya, kunakipindi ninacho kisema kilitokea, nilianza na nikajapata kazi bahada ya mda, ila roho ilikua imetulia kuliko Kama ningetafuta kazi nikiwa na msingo wa mawazo , ukiwa unachakarika hata Kama una kazi unakua na utulivu wa moyo,
Mfano product za walim ni nyingi je unadhani serikali inaweza ajili wote ni ngum
 
Mbona mkapa na kikwete walikua wanaajiri wote??
 
Mkuu ebu acha hesabu za kwenye Makaratasi hizi( ni sawa na hesabu za kilimo cha Tikiti au ufugaji wa kuku/sungura)
Twende field kwenye Uhalisia wa mambo. Umepewa Milioni5 hii, Je wewe utafanya biashara gani ya kukuingizia Kipato cha Shs 40,000/(arobaini elfu) kwa siku?
Ni biashara gani au uwekezaji gani utaufanya kwa Mtaji huo?
Tunaomba Uzoefu wako nasi tinufaike kupitia wewe
 
Mazingira ya watumishi hewa yalikuwa yanatengenezwa, bila wananchi kushtuka ndio ilikuwa imetoka hiyo. Na inawezekana michezo hii washaicheza sanaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hiyo awamu ya pili ni
Maana yake ni kuapply upya mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…