Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,402
Yani hawa mawatu yakisha danganya, watu wakafukunyua na kujua ukweli na kuuweka hadharani lazima waweweseke. Hawapendi kuwa wakweli kila kitu kizuri wanataka figa iwe juu, sasa kwenye baya mfano yakitokea maafa wakafariki watu 8 utasikia wanasema ni wawili tu.Mbona siku inatangazwa ilisemwa ni 13,000?