Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Watu wameanza kuzikosoa ndio shida.Mi naona wanawasaidia wazirekebishe na si kuzuia watu kusambaza hizo picha wakati wao ndio walizitoaKama wanasaidia kuhamasisha utalii siyo mbaya, kwani tunajenga nyumba moja.
Nafikiri lengo ilikua afike gamboshi hayo mengine kutuzuga tuTunahitaji hasa picha akiwa na wale 100 wa Gamboshi.
Ni swala la 'kikulacho' tu MkuuKwani hao wanao zisambaza hizo picha wanazitoa wapi?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ili akakabidhiwe mikoba ya miikoNafikiri lengo ilikua afike gamboshi hayo mengine kutuzuga tu