Serikali haikupaswa kuja na tangazo la namna hii bali ilipaswa kuwashukuru wananchi kwa kuonesha mapungufu ya hizo picha kisha kuomba radhi wananchi
Kwa dunia hii ya leo utawezaje kutoa tangazo kama hilo? Wakati tayari hizo picha zimeshafika sehemu kubwa ya dunia?
Sasa kwa marufuku hii ndio kwanza wanetoa hamasa watu waanze kuzitafuta na kuzijadili
Haya mapungufu serikali haikuyaona mpaka wananchi walipoongea[emoji1541]
Life jacket ya kumfaa mama ama xx large au xxx large. Watendaji wamekosea sana kumvisha jaketi size medium. Watendaji wa wajibishwe.
Yale magwanda ya TANAPA mnh..ngoja picha ziongee
Na je ni kweli hizi picha sio rasmi? Zimefikaje huku?
View attachment 1929966View attachment 1929967View attachment 1929968