Serikali: Wanaosambaza picha za Rais Samia akiwa kwenye vivutio mbalimbali waache mara moja

Serikali: Wanaosambaza picha za Rais Samia akiwa kwenye vivutio mbalimbali waache mara moja

Si waanze na hao Wapiga picha wanaoongazana nae.
 
Embu tuelezeni maendeleo tumefikia wapi sgr, busisi, nyerere dam, standi zamikoa, maded wazembe, madini,magesi, mabarabara,maflyovers, mameli, mauwanja yandege, maikulu, maviwanda, kukarabati mashule namengineyo kabla sijakasirika. Mambo ya picha kusambaa hayatuletei sisi tija tafadhali sana!
 
Kuna haja gani ya kuwaandikia hiyo PDF wakati hiyo team yuko nayo kwenye msafara?
 
Embu tuelezdni tumefikia wapi sgr,busisi,nyerere dam,standi zamikoa,maded wazembe,madini,magesi,mabarabara,maflyovers,mameli,mauwanja yandege,maikulu,maviwanda,mageita nk. Mambo ya picha kusambaa hayatuletei maendeleo tafadhali
Kwasasa tupo kwenye uchifu.
 
copywright ziheshimiwe serikali iko sahihi kwa hili

Wewe ni mpumbavu. Hujui ili copyright violations ziadhibiwe lazima kuwe na usajili? Usitumie neno copyright ili kuhimiza picha kutosambaa. Wadhibiti watu na simu zao, iwe marufuku kupiga picha ili atakayepiga awe amekiuka maagizo!
 
Wewe ni mpumbavu. Hujui ili copyright violations ziashibiwe nazima kuwe na usajili? Usitumie neno copyright ili kuhimiza picha kutosambaa. Wadhibiti watu na simu zao, iwe maruduku kupiga picha!
Huyo hajui maana ya copyright
 
Wewe ni mpumbavu. Hujui ili copyright violations ziashibiwe nazima kuwe na usajili? Usitumie neno copyright ili kuhimiza picha kutosambaa. Wadhibiti watu na simu zao, iwe maruduku kupiga picha!
Wanaochukua hilo tukio na kutengeneza movie ni Royal tour

Ni Sawa na filamu zote zinazotengenezwa wakiwa wana shoot huwezi wewe na kikamera chako koko eti upige na kusambaza bila ridhaa yao

Una uelewa mdogo mno
 
Back
Top Bottom