Zinasambazwa na nani kutoka kwenye chanzo? Nini maana ya vivutio vya utalii sasa!Wizara ya Maliasili na Utalii imesema kuwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan zinazosambazwa mitandaoni zikimwonesha akiwa kwenye vivutio mbalimbali vya utalii, sio rasmi na hazina kibali cha serikali. Wizara imewaonya wote wanaohusika na kuwataka waache mara moja.
Kwan hivyo vivutio wanatangazwa chadema?copywright ziheshimiwe serikali iko sahihi kwa hili
Hiyo movie haijaanza kurushwa hewani iko kwenye ku shoot haijakamilika kufanyiwa editing nk wewe utarushaje hewani kitu ambacho studio hakijatoka?Kwan hivyo vivutio wanatangazwa chadema?
copyright ya nini wakayi raisi na mbuga ni mali ya wananchicopywright ziheshimiwe serikali iko sahihi kwa hili
Hangaya ni mkubwa kuliko Tembo hakika dunia ina maajabu sanaSerikali haikupaswa kuja na tangazo la namna hii bali ilipaswa kuwashukuru wananchi kwa kuonesha mapungufu ya hizo picha kisha kuomba radhi wananchi
Kwa dunia hii ya leo utawezaje kutoa tangazo kama hilo? Wakati tayari hizo picha zimeshafika sehemu kubwa ya dunia?
Sasa kwa marufuku hii ndio kwanza wanetoa hamasa watu waanze kuzitafuta na kuzijadili
Haya mapungufu serikali haikuyaona mpaka wananchi walipoongea[emoji1541]
Life jacket ya kumfaa mama ama xx large au xxx large. Watendaji wamekosea sana kumvisha jaketi size medium. Watendaji wa wajibishwe.
Yale magwanda ya TANAPA mnh..ngoja picha ziongee
Na je ni kweli hizi picha sio rasmi? Zimefikaje huku?View attachment 1929966View attachment 1929967View attachment 1929968
Eeh ndio mambo ya matambiko kule Gamboshi?Mama anaonekana Giant kuliko tembo
Sijaona tatizo kama hazivunji maadili. Watuelimishe tujue tatizoKama wanasaidia kuhamasisha utalii siyo mbaya, kwani tunajenga nyumba moja....
Hahaha[emoji23]Hangaya ni mkubwa kuliko Tembo hakika dunia ina maajabu sana
Huu ni mwanzo tu wa mwendelezo wa tawala za kishirikina.imegeuka siri tena? si utalii ama?
Wamepataje?Hiyo movie haijaanza kurushwa hewani iko kwenye ku shoot haijakamilika kufanyiwa editing nk wewe utarushaje hewani kitu ambacho studio hakijatoka?