Serikali wangetakiwa kutoa njia maalumu za maandamano! Sio kushangaa shangaa tu

Serikali wangetakiwa kutoa njia maalumu za maandamano! Sio kushangaa shangaa tu

Nyie jidanganyeni...nadhani vibaka na panyaroad wote mtakwisha
 
Serikali ingetakiwa kutoa njia za kupita mpaka uwanja wantaifa bila hivyo serikali itabaki kulaumu kila siku na kuuwa vijana bila sababu. Maandamano ni haki yao
Nani kakwambia tunataka kwenda uwanja wa taifa?

Tukafanye nini huko uwanjani?

Sisi tunahitaji kufika ikulu.

Inyeshe mvua liwake jua lengo ni kufika ikulu.

#9D save the date.
 
Maandamano Tanganyika yote, hatutaki kupangiwa njia na wayekaji wauaji.

Unataka wakupangie njia unaenda wapi na nani?

Sisi tunaandamana kuanzia nje ya milango ya nyumba zetu kuenfelea.

Na hakuna maandamano ya amani.

Amani gani ina hiyaji tuandamane ili iweje sasa?

Lazima tuongee lugha wanayoielewa na kuisikia kwa sauti kubwa.

Acha ujinga wa kuomba njia, utakua unaenda wapi sasa?
 
Back
Top Bottom