The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Unaweza kuweka sababu za wewe kusema "Big no" kwenye hizo nchi ulizo zitaja? na sababu za kupenda Namibia na US?Aise uganda oman na falme za kiarabu ' big no bora ni baki tz nilime mahindi. Ila hapo namibia na usa nimepapenda sna
Zambia na Malawi ni kama Matawi ya Tanzania tuu ingawaje Wazambia ndio Nchi wanazingatia mno sheria za Uhamiaji na wapo serious kweli...nimeona juzi nao Wamalawi wamewakamata wageni wengi Lilongwe na kufungia biashara zao wakitaka vibali vya biashara kwa wageni na wale Warundi na Wanyarwanda wamepelekwa sehemu ya wakimbizi kazi ipo huko...Mbona sijawekwa kwenye list soon nimetoka kuukana uraia wa Tz nipo Zambia huku
Wameazimwa kwa mda siku kikinuka imekula kwao mgeni hamiliki ardhi tz mabadiliko yaanze kwenu kuwaripoti hao watuNina wivu na nchi yangu hasa nikiangalia nchi zote Duniani zinavyodhibiti Raia wa kigeni katika nchi zao lakini Tanzania WAGENI wanaingia kiholela na kununua viongozi wote wananua Ardhi kupitia viongozi Wetu lakini tunachekelea wanaishi Nchini Kwa kiburi na kufanya dhuruma mbalimbali EBU WA Tanzania tuamke jamani.
Sababu ni hohe haheMimi navyoipenda Tanzania hivi...sikani uraia wangu hata kwa dawa
Unaweza kuta jamaa katoboa uganda..! Anaona kurudi nyumbani ni kupoteza tuUnaukana uraia unaenda kuwa Mganda?
Una ukana Uraia wa Tanzania unakwenda kuwa Raia wa china?lohhh majangaa kweli.Unaukana uraia unaenda kuwa Mganda?