Katika hao, je wangapi washakufa kwa shinikizo la damu?Naibu Waziri – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa amesema watumishi wa umma 4,160 kati 15,189 walioondolewa kazini kwa kuwa na vyeti vya kughushi wamerudishwa
Dkt. Mwanjelwa amesema Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa Watumishi hao waliondolewa kimakosa
Mbona hajasema kuhusu wenye vyeti na majina fake ambao hawakuondolewa kazini
Cha ajabu hata kesi iliyofunguliwa na mstahiki meya wa Ubungo kwenye tume ya maadili ya viongozi wa umma mpaka sasa haijatolewa jibu. Kila mtu anamwogopa. Yaani wasomi wanamwogopa msomi fakeNa mimi nilitamani niisikie hiyo kauli lakini bahati mbaya hajatoa maelezo.......RC Paul Makonda yupo kundi gani kwa maelezo ya Serikali tukufu ya JPM???
Acha unafiki huo umakini haujawahi kuwepo ndo maana walikuwa wanaajiri empty set
Hapa naona kama kuna mtu fulani mkubwa katika mkoa Fulani mkubwa litakuwa linamuhusu zaidiMbona hajasema kuhusu wenye vyeti na majina fake ambao hawakuondolewa kazini
Naibu Waziri – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa amesema watumishi wa umma 4,160 kati 15,189 walioondolewa kazini kwa kuwa na vyeti vya kughushi wamerudishwa
Dkt. Mwanjelwa amesema Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa Watumishi hao waliondolewa kimakosa
ooh, wenye kadi za " kijani "na kama ni wa kanda ya ziwa atakuwa karudishwa kazini, wengi ambao wamechinjiwa baharini inasemekana ni wale wanao jiita makamanda, wa mikoa yenye milima miwili mirefu Tanzania.Mie mmachinga hapa makoroboi ila nina uncle nataka nijue Kama karudishwa
Kichwa cha habari ni sahihi kabisa, wala kisirekebishwe.Rekebisha kichwa cha habari kisomeke "watumishi 4,160 walioondolewa kimakosa kwa vyeti feki warudishwa kazini"
Angeongeza neno walioondolewa "kimakosa"Kichwa cha habari ni sahihi kabisa, wala kisirekebishwe.
Sababu: Walipoondolewa sababu ilikuwa vyeti feki, na watanzania wote tulipokutana na watu hao tulijua kuwa walikuwa na vyeti feki. Hivyo kichwa cha habari ni sahihi kabisa, nitakinukuu :
"Watumishi 4,160 walioodolewa kwa vyeti feki warudishwa"
Walioondolewa ni past tense, ni kilichofanyika wakati huo sio sasa.
Hapana, walioondolewa kihalali kabisa kama ukimuamini Dr Magufuli. Kwani walifanya uhakiki si mara moja bali walirudia na kurudia na kurudia na baadae kutangaza namba ambayo serikali ilijiridhisha kuwa wana vyeti feki. Cha ajabu katika maelezo ya waziri sijasikia wala kusoma hata sentensi moja aliyosema watalipwa fidia kwa makosa ya serikali.Angeongeza neno walioondolewa "kimakosa"
. Si computer wala nini, waliorudishwa wengi wao walifanikiwa kunyofolewa vyeti fake vya f4 na defence ktk utetezi wao ikawa hawakuwahi soma sekondari!Computor ilikosea au Nini kilitokea mpaka usumbufu wote huo kutokea,maana wengine walikufa na plesha