Sasa mtu kafanya kazi miaka 30, 35, 20 nk na alibakiza miezi tu astaafu, unamdhulumu na aheri yake kwa lugha ya mwizi ?!
Hao ndiyo walioifikisha Tz hapa ilipo leo. Hawakutakiwa kunyanyaswa bali wangelipwa na kukatiza mikataba yao. Mbaya zaidi Ile amri ilikuwa ya kibaguzi kwa vyombo vyetu vya ulinzi hawakuathirika !!!