Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

Waulizeni Serikali tafadhali waliouhairisha na siyo TFF ya Rais Bora kuwahi kutokea Wallace Karia au kuanza Kuilaumu Timu ' iliyobarikiwa ' na Mwenyezi Mungu ya Simba Sports Club sawa?
Ikifika hiyo tarehe 3 msipoiona Timu ya Wananchi na Mabingwa wa Kihistoria na Timu pekee iliyochukua Kombe nje ya Tanzania nyinyi wenyewe ndio mtaenda Tifuatifua kuulizia kulikoni.
 
Serekali iiguse Yanga, inuke!!
 
Match ilishachezwa tarehe 8 kwa Simba kutoingiza timu uwanjani
Sasa kama ilishachezwa, kuna haja gani ya kutoa matamko? Yaani mechi imeshapita halafu afisa habari na wazee wa utopolo wanapita kwenye media kwamba hatutapeleka timu, sasa kwa nini uzungumzie kutopeleka timu wakati ulishacheza hiyo mechi? Akili zenu aliondka nazo Luc Eymael
 
Nyie ndo wale wanapelekeshwa kama kuku aliekatwa mkia; TFF wameshika makali huku Yanga au Simba wameshika mpini kubali au kataa. Hakuna kanuni iliyofuatwa wala inayowapa TFF kibali cha kusogeza mechi ya Simba na Yanga adi saa moja..na pia hakuna kanuni kanuni iliyowapa TFF kibali cha kusogeza mechi kutoka hiyo saa moja usiku adi tarehe 3 julai.
Kama timu zote zisipojitokeza hiyo tarehe 3 julai bado TFF watawajibika kuisogeza mechi mbele bila sababu yoyote.

Hitimisho la mechi kuchezwa hiyo tarehe 3 ni pale ambapo viongozi wa TFF na Serikali kuwajibishwa au kujiwajibisha kwa kutokufuata sheria zilizowekwa kama ambavyo wanataka au wanawajibisha timu/mwamuzi/au mdau yeyote wa mpira pindi ambapo hafuati taratibu.
Kijiti wamekalia wao TFF/Serikali wakichomoe kwanza. La sivyo mnakwenda kuibiwa tena mia mia zenu za kiingilio hiyo 3 julai.
 
Kwani lazima mcheze na Yango ndo mridhike, si iteni timu nyingine mcheze nayo, waachen Yanga na mambo yao

TFF yenu ndo inavuruga soka la TZ, angalia mizengwe tu ya uchaguzi ndo utaelewa TFF ndo wavurugaji wa kila ktu. sasa mnatafuta kuhamisha lawama kwa Yanga.

Toeni kwanza maamuzi zile kesi 7 za Yanga mlizokumbatia ndo mechi itachezwa, vinginevyo tafuteni wa kucheza naye
 
Waje wacheze tu tutawapa point tatu na goli tatu
 
Ubingwa bila kuipiga utopolo 4G haunogi.
 
Sasa wewe ndiyo Simba ?mawazo finyu sana au nyie ndo wale ata kama sheria inavunjwa wewe unasapoti tu kisa unapata maslahi yako?
Maslahi ya timu yanapatikana kupitia kucheza mpira uwanjani. Timu ziingie zicheze, msimu umalizike tuanze mwingine
 
Sasa hata wakipewa points watakuwa mabingwa? Yanga jitafakarini,timu yenu imeyumba na si ya kishindani tena ipo ipo tu.Na hii ni janja ya kuogopa kucheza na simba ambayo ikiamua kisema ngoja leo tupiiiige hawa ni mtachezea kichapo balaa
 
Hapa si serikali wala tff wala mikia mwenye kusema fyoko!! Mkijamba tu sisi tunaharisha na mpira wenyewe kwa ujumla lazima upepesukie huko gizani!
Kwa maandishi haya kwaheri [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…