Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.
TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!