Serikali/Wizara ya elimu ifikirie kufundisha THINKING kama somo ikiwa wapo serious na kuondoa umaskin

Serikali/Wizara ya elimu ifikirie kufundisha THINKING kama somo ikiwa wapo serious na kuondoa umaskin

Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.

TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!
Mimi nashauri serikali iwawekee utaratibu wa wanafunzi kusoma vitabu ukiachana na vya masomo tangu wakiwa wadogo maana vitabu vinasharpen namna ya kufikiri
 
Ukiwa smart kichwani hata ajira hupati maana watu wanaogopa usije chukua nafasi zao hivyo utapigwa vita kila mahali, ukiwa kichwa kibovu na chawa unatoboa fasta maana sio tishio kwao
wanakuwa wamekusaidia sababu ukikaa around wajinga utashuka,its a blessing in disguise. Nenda unakofit au kwa waliokuzidi panua wigo dunia hii kubwa sana
 
Uwezo wa kufikiri unajengwa na mambo yafuatayo:-
1. Mlo kamili. Waafirika tunakula tunachokipata na siyo kinachitakiwa. Akili zinadumaa.
2. Makazi Bora. Tunaishi kwenye makazi duni yamejaa wadudu wasumbufu, makelele, harufu za mitaro ya maji machafu.
3. Uhuru wa kujieleza na mijadala huru ktk jamii. Serikali nyingi zinabinya uhuru wa kujaili mambo kwa uwazi na mapana yake na hivyo kuviza upanuzi wa akili.
yes huo ni upande wa pili wa coin.nilifanya assumption ya kuwa anaapata vyote hivyo. navyo ni muhimu
 
first get exposure ndugu. pili yani wewe the fact that hujaona hilo somo wapi wanafundisha huwezi kufundisha?yaani you ONLY have to see something somewhere to do it ? real? Dude, you just confirm nachokisema ,niliamini your thinking is TOO LIMITED ila sikujua ni kwa kiasi hiki,iam shocked ..but asante kwa real time proof ya nilichosema
Kingereza Cha "supa glu" usinib

Kingereza Cha supa glu peleka huko. Thinking haiwefundishwa maana hyo cognitive dev ambayo huanzia ukuaji , utachowezaffunza ni logical building, reasoning na conclusion buildup kwa area husika.

Mfano Yale university inatoa upande wa biashara,mikataba .
Labda nkutoe tongotongo.
 
unagombana na nani?ha ha now you are triggered by the language?!! seriously? are you this small/weak?! like i said you are too limited, so pls save your energy,keep it moving !sipotezi muda na emotional ppl
 
Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.

TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!
Umeongea kitu nilichokifikiria muda mrefu saaana!
Ukweli mtupu!
 
Kuna rumors kuwa system ime design hili makusudi ili watawallike kirahisi, aka raia watiifu, si raia efficient
Hii ililetwa na mkoloni, na haijabadilika sana tangu tupate uhuru, kukaririshana tuuu!
 
Njia moja wapo ya Kujenga UFIKIRI ni kupitia Kusoma Vitabu.

Hili haliwezi kusubiri Serikali aamue, Kama wewe ni mzazi na unaipenda kesho ya mwanao kabla ya kufikiri kumuwekea TV chumbani kwake au swimming pool nje fikiria kumjengea bookshelves chumbani kwake na unamletea zawadi ya Vitabu kwanzia akiwa na miaka 2,3,4,5,6 nk.

Hii itamjengea tabia ya kua mdadisi wa yale yalio katika vitabu, Na ndipo utafanikiwa kujenga thinking and reasoning capacity ya mwanao.

Binafsi nilianza kwenda library ya mkoa on weekends nikiwa niko darasa la Tano, Na Tukifika kule tulikua Tunapewa vitabu vya watoto na assignments za Kuchora.

Hili limenijengea tabia ya kua napenda kusoma soma vitu mpaka leo, Ndo maana hata kwenye Social networks natumia sana jamii forum kuliko FB, Insta kwa sababu inaendana vzuri na haiba yangu
 
Mimi nashauri serikali iwawekee utaratibu wa wanafunzi kusoma vitabu ukiachana na vya masomo tangu wakiwa wadogo maana vitabu vinasharpen namna ya kufikiri
Kusoma vitabu ni passion ya mtu , sisi advance shuleni kwetu Kuna vitabu vingi vya kusaidia Hilo ila havisomwi na ni kwa sababu mtu hajajizoesha tokea mdogo , hakuna motivation ya kusoma hivyo na muda wa masomo kubana
 
Basi wazazi wawazoeshe watoto wao kusoma vitabu mfano wazungu huwasomea watoto wao vitabu kabla ya kwenda kulala na nyumba zao huwa na library kwahiyo mtu anavizoea vitabu toka akiwa mdogo.
 
Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.

TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!
SAHIHI

Japo isikushangaze kujua ya kwamba hili linahitaji utashi wa wanajamii wenyewe moja kwa moja kwa wakati--halipaswi kutegemea 'Serikali'...

Serikali ni utaasisi wa huduma za jamii--huwekwa nguvuni kwa/na utaratibu wa umma wenyewe kujiamulia mambo yake ya msingi na halafu kutaasisha miongozo kama 'Nchi-Dola'; utaasisi wa nchi-dola kwa misingi ya katiba kwa mfano...

Serikali ni chombo cha Utawala na Mamlaka ya Kiraia, lakini kimsingi na ukweli khasa wa mambo hujumuisha utaasisi wa 'imani' na 'jeshi'--mambo ya (1) Jeshi la Kujenga Taifa, na tena hapo hapo (2) Jeshi la Ulinzi la Wananchi--ilivyo ni makusudi makuu ya kinchi-dola kama taasisi kwa mambo yote ya na maadili-miiko-uadilifu kwa shauri la Uzalendo.

Kila raia mwema anaowajibu wa kutambua sehemu yake katika hayo matatu ya (1) Imani ya Utaifa, (2) Utumishi na Huduma, na (3) Ulinzi na Usalama wa Milki na Stawi kama Nchi ya watu/Wanajamii--Watu katika 'Umoja'...

Kuna rumors kuwa system ime design hili makusudi ili watawallike kirahisi, aka raia watiifu, si raia efficient
SI 'RUMORS' BALI UKWELI WA J(/M)AMBO

Ni mambo ya 'Sanaa za Utawala'--hili jambo lina mazuri na mabaya yake; muamuzi wa kweli juu ya suala hili ni 'UMMA' wenyewe--Umma unaokamia kushikilia barabara 'Mwenge wa Uhuru'...

Hakuna kitu/jambo kama 'System kuwa Designed'(Mfumo kusanifiwa); kiufundi, 'A system is established/the establishment -- as the Status Quo'. The very thing which determines the state of affair/establishment, in any given functional community/society, is the 'State of Illumination/Self Illumination' as it pertains to individuals constituting the welfare of the such very community/society.

Kwa hivyo, kila mzalendo/raia mwema anaowajibu wa kuutafuta Mwangaza--mwangaza wa kuongoza njia zake na kushiriki siha njema na wanajamii wenzake.

Elimu ya darasani 'si mwangaza' khasa, bali NIA THABITI ya ku-JUA ILIVYOBORA ndiyo msingi wa UHURU WA KWELI WA KIUTU(LIBERITI).

Mambo ya (1) creative thinking (Kiufundi ni Uimajinishi na Ubunifu wa Sura za Mashauri na Konstrakti zake kwa fahamu na mafahamu), (2) metacognition (Kiufundi ni Akili na Utambuzi kwa konstrakti za mafahamu kwa namna za ulandanifu wa tafsiri za Miundo na Sura ya mambo) , (3) emotional intelligence (Kiufundi ni Uweza-Utayari-Umahiri wa Ufahamu na Mafahamu kuingiliana na roho/akili ya utambuzi yenye kuunasibu utu wa mtu na kule 'Kujisikia'--mambo ya Usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu) ndiyo yenye kukadirisha mfumo wowote wa jamii yenye kushiriki mazuri ama mabaya ya utendaji jumuifu wa jamii husika--kisomoni.

Kwa mintarafu ya hili, HEKIMA NI LIBERITI/UHURU na UHURU NI KAZI, Kazi ni MAARIFA na tena PASIPO MAARIFA SAHIHI hakuna UHURU SAHIHI.

Mfumo wowote unaweza kugeuka wakati wowote ikiwa wanajamii wana maarifa sahihi na utashi; na kule kutambua wazi wanawajibika na uweza-utayari-umahiri kwa fahamu na mafahamu yao moja kwa moja--si kujipotosha ama/na kupotoshwa na mashauri ya tabaka/kikundi/wanataasisi fulani-- kama tabaka la wenye 'mamlaka ya mwisho'; kwa kuwa mamlaka ya kweli na ya mwisho yapo ndani ya mwanajamii/wanajamii wenye mwangaza na uwajibikaji kwa sura na utendaji wote mzima wa kijamii.

Wajinga ndiyo waliwao; nchi hujengwa na wenyemoyo na huliwa na wenye meno pale ambapo wanajamii wenyewe 'wamepotezana kimashauri' na hapo hapo wajanja wachache kutumia huu 'mwanya wa madhaifu ya kiakili na utambuzi' kuwachezea akili zao; kwa kuwa 'ujinga' ni fursa kwa 'wajasiria-mali-mifumo' kokote kule Duniani na hata pia nje ya Dunia yetu ambako kuna jumuiya pana zaidi ya watu-ushirika-udhamirifu wa uzima-liberiti-furaha.

Uwezo wa kufikiri unajengwa na mambo yafuatayo:-
1. Mlo kamili. Waafirika tunakula tunachokipata na siyo kinachitakiwa. Akili zinadumaa.
2. Makazi Bora. Tunaishi kwenye makazi duni yamejaa wadudu wasumbufu, makelele, harufu za mitaro ya maji machafu.
3. Uhuru wa kujieleza na mijadala huru ktk jamii. Serikali nyingi zinabinya uhuru wa kujaili mambo kwa uwazi na mapana yake na hivyo kuviza upanuzi wa akili.
NKNS

1. Mlo kamili na udumavu; hmmm, shauri hili linahitaji mapana ya 'usaikosomatia'--mmarifa na maarifu juu ya jinsi utendaji wa akili inavyoingiliana na utendaji wa mwili; kinyume chake pia--hali ya kimwili kuathiri utendaji wa kiakili.

2. Makazi Bora na kero za Kimazingira; hmmm, shauri hili linahitaji mapana ya 'uono na Ufikirifu Mifumo' kwa kuwa viumbe vyote vyenye usentienti-Konsayansi-Nuru ya Ufahamu hudumu na kustawi katika mazingira sawia ya (1) Akili na Utambuzi, na pia (2) Kujisikia--'kujisikia nyumbani'. Kwa mintarafu ya hivi, ikiwa kuna 'Mwangaza Bora' kwa fahamu na mafahamu kiumbe chochote kinaweza kuhama kutoka kwenye mazingira yasiyo rafiki na kwenda kule kwenye afueni ama mazingira rafiki ama vile vile kuyageza mazingira yasiyo rafiki ili yawe rafiki ili kustawi.

3. Uhuru wa Kujieleza; hmmm, shauri hili kiufundi ni tunda la fanusi ya mwangaza bora wa jamii ilivyo ni 'HEKIMA na UHURU/LIBERITI'; serikali ni 'mazingira' pia--mazingira ya kiutendaji ambayo daima huakisi kuridhika ama kutoridhika kwa wanajamii kiustawi na maendeleo yao. Ni muhari kutenganisha 'Uweza-Utayari-Umahiri' wa serikali yoyote na ujumuifu wa fahamu na mafahamu ya wanajamii wake katika kuakisi ile sura na mienendo yake ya kiustawi na utamaduni.
 
Back
Top Bottom