Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
Hivi Huwa mkushiba tu mnjitia uhodari na ubora nyuma ya keyboard zenu!Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.
TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!
Mfumo wa elimu ndio unatakiwa ujenge watu kufikiria. Ila mfumo wa mitihani unajenga watu kukumbuka, hapo ndipo tunafeli pakubwa sana. Tunapima uwezo wa kukumbuka badala ya uwezo wa kufikiria.Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.
TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!
Kuna rumors kuwa system ime design hili makusudi ili watawallike kirahisi, aka raia watiifu, si raia efficientLengo la elimu hii wanaita ya kiprussia ni kuzalisha maafisa watiifu. Ufikiri uwasumbue?
Nchi gani duniani inazalisha maafisa wasio watiifu? Nitajie Moja na kwa mifano.Lengo la elimu hii wanaita ya kiprussia ni kuzalisha maafisa watiifu. Ufikiri uwasumbue?
Lengo la elimu hii wanaita ya kiprussia ni kuzalisha maafisa watiifu. Ufikiri uwasumbue?
hapana pamoja na hilo wanatakiwa wawe intentional katika kujenga ubora wa kufikiri,kusema tu elimu itawajenga watakuwa bado hawajaexcell kwenye kufikiri. Mitihani sio tatizo tatizo ni kushindanishwa. mitihani bado ni kipimo kizuri but imhusu mhusika tu ,mtu ashindane na yeye sio na mwingineMfumo wa elimu ndio unatakiwa ujenge watu kufikiria. Ila mfumo wa mitihani unajenga watu kukumbuka, hapo ndipo tunafeli pakubwa sana. Tunapima uwezo wa kukumbuka badala ya uwezo wa kufikiria.
Mkuu, chukua 💐💐Hakuna serikali ya mtu mweusi yenye lengo la kuwa na wananchi wengi wenye uwezo wa kufikiria🐼
kwahiyo umegive up?huna hata idea moja ya kubadili hilo kosa uliloliona? labda hii ndo itakuwa ya kwanza je ? labda hii itamove one step ahead in the right direction because of your presence? au uwepo wako hauna contribution yoyote mradi walishakosea umesurrender kuburuzwa?Hakuna serikali ya mtu mweusi yenye lengo la kuwa na wananchi wengi wenye uwezo wa kufikiria🐼
sawa kafanya observation unayokubaliana nayo,tatizo umeshalijua sasa what are you going to do about it? any ideas?Mkuu, chukua 💐💐
Wao wenyewe hawawezi kufikiri, wanaanzaje kuwafundisha wengine namna ya kufikiri. Usilete vichekesho msibani broo.Ukweli usipingika ni kwamba maendeleo ya mtu/watu/taifa yanaendana na ubora wa ufikiri(thinking) ya mtu/watu. Niwe mkweli tu quality ya ufikiri wa watanzania walio wengi iko chini na inaendelea kushuka.Fanya reseach ndogo tu, ongea na watu kumi randomly unaokutana nao topic za maana au angalia comments online compare na comments nchi nyingine utaona ambavyo watanzania wengi hawana cha maana cha kuongea .Kama huamini bado sitashangaa hata hii thread comments zake zinaweza kuprove nachosema.
TAIFA LISITEGEMEE kuendelea kwa miracles bila kuinvest kwenye minds za watu.
, especially watoto wadogo na vijana. Ufikiri mzuri UNAFUNDISHIKA ,baadhi ya modules zake mfano zinaweza zikawa critical thinking,creative thinking, metacognition, emotional intelligence, wanafunzi watakiwe kusoma vitabu mbalimbali,nk. Hii imani tuliyonayo ya kuwa ubora wa kufikiri unakuja tu bila kuwa sharpened ina cost taifa na hii jamii. kuna siku ya siku decision makers watatokea kwenye kundi la low/worst thinkers na hakuna atakayeona tofauti sababu hakuna atakayekuwa bora. na kama hamuamini hiyo hali inakuja jiulize why uchawa imekuwa kitu cha kawaida?Ni kwa sababu tayari tumeishaanza safari ya kuelekea anguko la fikra. TUsichelewe!
first get exposure ndugu. pili yani wewe the fact that hujaona hilo somo wapi wanafundisha huwezi kufundisha?yaani you ONLY have to see something somewhere to do it ? real? Dude, you just confirm nachokisema ,niliamini your thinking is TOO LIMITED ila sikujua ni kwa kiasi hiki,iam shocked ..but asante kwa real time proof ya nilichosemaHivi Huwa mkushiba tu mnjitia uhodari na ubora nyuma ya keyboard zenu!
Wapi duniani wanasoma hilo somo? Kuna mengi yanayocgagiza hicho unachokisema hayo ndo yafanyiwe kazi
so..kama wao hawawezi ndio ibakie hivyohivyo ? hapo ndio thinking yako imeishia mkuu?Wao wenyewe hawawezi kufikiri, wanaanzaje kuwafundisha wengine namna ya kufikiri. Usilete vichekesho msibani broo.