johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Rais Magufuli amekuwa ni mkweli na muwazi sana katika uongozi wake na kwa hakika zama hizi ndio za uwazi na ukweli sio zile za awamu ya 3.
Waziri akizembea au kufisadi anatumbuliwa mchana kweupe na Wananchi tunaelezwa kinaga ubaga sababu za utumbuzi huo, hakuna kuoneana.
Hongera Rais Dr Magufuli, Watanzania tunakukubali.
Maendeleo hayana vyama!