Serikali ya awamu ya 5 ni ya Uwazi na Ukweli kupita ile ya Awamu ya 3

Wapo wa
Ukiona serikali yoyote inadhibiti vyombo vya habari kuwa huru kuripoti na kuibua uchafu, basi ujue taarifa unazopewa na serikali hiyo ni kiki za kisiasa. Rais ndio anasaini hao viongozi kwenda nje ya nchi, alishindwa kuwauliza wanafuata nini? Pesa nyingi hivyo zikiingia bank kuu rais lazima afahamu, je zilipoingia alichukua hatua gani? Kama sio kiki za kisiasa ngoja tuone hatua za kisheria zikichukuliwa, maana tunaona viongozi wote wa upinzani wana kesi mahakamani kwa kuandamana tu kwenda kudai mawakala waapishwe, ngoja tuone hili jambo zito kama kuna hatua za maana zaidi ya kiki.
Wapo waliopewa dhamana wanapita katika taasisi ambazo ziko chini ya wizara zao wanachukuwa fedha. Aina hii ya rushwa ni mbaya na inadumaza utendaji kazi. Wakaguzi wa ndani wa taasisi hizi wanajua lakini wako kimya inabidi ifike mahali kila mtanzania achukie rushwa kama anavyochukia Rais Magufuli bahati mbaya sana watendaji wengi hawajamuelewa mh. rais na ndiyo maana wanaendelea kula rushwa na kuendekeza kick backs.
 
Magufuli amedhihirisha hana undugu wala urafiki na ufisadi, ukizingua hata kama wewe rafiki yake wa karibu anakutumbua tu, mtaendelea kuwa marafiki lakini sio kazini. Huyu ni kiongozi anayepaswa kuigwa Afrika, atacheka na kula na wewe ila uwe makini na kuheshimu kazi na sheria.
Watanzania na Waafrika hawakua wamezoea mambo kama haya.

..inawezekana amewageuka wenzake ktk wizi.

..utakumbuka aliwahi kudanganya ameokota vichwa vya treni bandarini, na Takukuru walimuunga mkono ktk uongo huo.
 
Magufuli amedhihirisha hana undugu wala urafiki na ufisadi, ukizingua hata kama wewe rafiki yake wa karibu anakutumbua tu, mtaendelea kuwa marafiki lakini sio kazini. Huyu ni kiongozi anayepaswa kuigwa Afrika, atacheka na kula na wewe ila uwe makini na kuheshimu kazi na sheria.
Watanzania na Waafrika hawakua wamezoea mambo kama haya.
Bashite??
 
Tunaomba mturuhusu kuzitaja taasisi hizi humu

Back
Top Bottom