johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Rais Magufuli amekuwa ni mkweli na muwazi sana katika uongozi wake na kwa hakika zama hizi ndio za uwazi na ukweli sio zile za awamu ya 3.
Waziri akizembea au kufisadi anatumbuliwa mchana kweupe na Wananchi tunaelezwa kinaga ubaga sababu za utumbuzi huo, hakuna kuoneana.
Hongera Rais Dr Magufuli, Watanzania tunakukubali.
Maendeleo hayana vyama!

Takukuru wapo kazini bwashee!Ukiona serikali yoyote inadhibiti vyombo vya habari kuwa huru kuripoti na kuibua uchafu, basi ujue taarifa unazopewa na serikali hiyo ni kiki za kisiasa. Rais ndio anasaini hao viongozi kwenda nje ya nchi, alishindwa kuwauliza wanafuata nini? Pesa nyingi hivyo zikiingia bank kuu rais lazima afahamu, je zilipoingia alichukua hatua gani? Kama sio kiki za kisiasa ngoja tuone hatua za kisheria zikichukuliwa, maana tunaona viongozi wote wa upinzani wana kesi mahakamani kwa kuandamana tu kwenda kudai mawakala waapishwe, ngoja tuone hili jambo zito kama kuna hatua za maana zaidi ya kiki.
Alitumbuliwa!
Takukuru wapo kazini bwashee!
Bwashee umeambiwa tatizo ni yaliyomo ndani ya mkataba!Haiwezekani mkataba wa zaidi ya trilioni moja uingiwe bila ikulu na baraza la mawaziri kujua,kuna kitu kinafichwa!
Sasa suala la bila idhini ya bunge limetoka wapi?Msitufanye wananchi ni wajinga!Bwashee umeambiwa tatizo ni yaliyomo ndani ya mkataba!
Takukuru wako makini sana bwashee!Takukuru ni masterling wa picha za black & white. Hizo ni siasa nyepesi.
Takukuru wako makini sana bwashee!
Na safari hii kwenye uchaguzi Chadema msithubutu kugawa rushwa!Takukuru hii iliyojaa Makada wa ccm? Takukuru wetu hawajawahi kuchunguza kashfa yoyote inayozidi 50b. Wao uchunguzi wao huishi kwenye hela za mboga. Sasa hiyo 1T si wanaenda kutekenya kinyago wategemee kitacheza. Mzee Mgaya naona unazeeka kwa kasi, mpaka unaiamini Takukuru!
Na safari hii kwenye uchaguzi Chadema msithubutu kugawa rushwa!
Serikali zote zimejaa majizi matupuRais Magufuli amekuwa ni mkweli na muwazi sana katika uongozi wake na kwa hakika zama hizi ndio za uwazi na ukweli sio zile za awamu ya 3.
Waziri akizembea au kufisadi anatumbuliwa mchana kweupe na Wananchi tunaelezwa kinaga ubaga sababu za utumbuzi huo, hakuna kuoneana.
Hongera Rais Dr Magufuli, Watanzania tunakukubali.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio alitutajia mshahara anaolipwa!