Serikali ya awamu ya 5 ni ya Uwazi na Ukweli kupita ile ya Awamu ya 3

Wapo wa
Wapo waliopewa dhamana wanapita katika taasisi ambazo ziko chini ya wizara zao wanachukuwa fedha. Aina hii ya rushwa ni mbaya na inadumaza utendaji kazi. Wakaguzi wa ndani wa taasisi hizi wanajua lakini wako kimya inabidi ifike mahali kila mtanzania achukie rushwa kama anavyochukia Rais Magufuli bahati mbaya sana watendaji wengi hawajamuelewa mh. rais na ndiyo maana wanaendelea kula rushwa na kuendekeza kick backs.
 

..inawezekana amewageuka wenzake ktk wizi.

..utakumbuka aliwahi kudanganya ameokota vichwa vya treni bandarini, na Takukuru walimuunga mkono ktk uongo huo.
 
Bashite??
 
Tunaomba mturuhusu kuzitaja taasisi hizi humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…